Channel Avatar

KUAFIT @UC3sawijYdgk0yOiz7kRRbDg@youtube.com

9.4K subscribers - no pronouns :c

KUAFIT tunatoa elimu juu ya mazoezi, lishe na afya


Welcoem to posts!!

in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c

KUAFIT
Posted 1 year ago

Karibuni wote katika gym yetu ya KUAFIT Kwa mazoezi ya kujenga mwili, kupunguza mwili na kuwa fit.
Huduma zetu ni kwanzia jumatatu Hadi jumamosi saa 12 na nusu asubuhi Hadi usiku

1 - 0

KUAFIT
Posted 2 years ago

Karibu tujumuike wote wadau wote ku-have fun tarehe 5 mwezi wa 11 ...hata Kwa watu ambao sio gym member mnakaribishwa

1 - 0

KUAFIT
Posted 2 years ago

*CHAKULA HUCHUKUA NAFASI KUBWA SANA HASA KWENYE SWALA LA KUPUNGUZA TUMBO NA UZITO* ....ingawa watu wengi hufanya mazoezi bali wachache hufanikiwa kufikia miili wanayoitaka Kwa kutojua mambo ya msingi ya kuzingatia hasa kwenye chakula.....Basi kama unalengo la kupunguza tumbo na uzito tafadhali JIUNGE nasi
TAFADHALI UKIPATA UJUMBEE MTAARUFU NA MWINGINE ILI WENGI WAWEZE KUSAIDIKA

0 - 0

KUAFIT
Posted 2 years ago

🚨 *MAANDALIZI YA MWEZI WA TUMBO(SEPTEMBER)* 🚨
Kutokana na kwamba mwezi wa 9 utakuwa mwezi wakuzingatia tumbo kama ulivyokuwa mwezi wa 6 ambapo wengi walinufaika *basi kuna mambo ya msingi ya kufanya Ili kuweza kihakikisha mwezi wa 9 utakuwa wa manufaa makubwa hasa kwenye kupata matokeo mazuri*

_MAMBO HAYA YA MSINGI NI PAMOJA NA_

1. LISHE Tutakuwa na mfungo(OMAD fasting) wa siku tatu Kila wiki ndani ya mwezi mzima ( Jumatatu, jumatano na ijumaa) lengo ni kurahisishia kutumia vyakula vilovyojihifadhi Kwa mfumo wa mafuta hasa maeneo ya tumbo na sehemu zingine.Pia kubadili aina ya _vyakula(hasa kwenye kupunguza wanga)_ tutakavyokula katika siku zilizo salia(Jumanne, alhamis, jumamosi na jumapili).

2. MAZOEZI - tutafanya mazoezi Kwa kuzingatia zaidi mazoezi ya tumbo Kila siku ndani ya mwezi 9 Kwa kuzingatia mda wa dakika zisizo pungua ****40min ***** hivyo nawakumbusha kuwahi maana hatutachelewesha mda wa kufundisha darasa(mazoezi yataanza Kwa wakati hisika)

3.CHALLENGE
Kwa wale wote watakaoshiriki mwezi wa 9 tutakuwa na THE WINNER PACKAGE ambapo watakaoshinda walatipo asilimia hamsini ya pesa wanaopaswa kulipia Kwa mwezi (30,000/=sh)

HIVYO KAZI KWENU😎

1 - 0

KUAFIT
Posted 2 years ago

Mshindi wa mwezi wa sita AZIZ ......So KAMA MOTISGA this month discount 50% so instead ya kulipia 60,000/= utakipa 30,000/=

0 - 0

KUAFIT
Posted 2 years ago

Am simply the best fitness coach ever

2 - 0

KUAFIT
Posted 2 years ago

Kwenye jitihada Kuna matokeo mazuri..... Congratulations🎉 to our monthly *KUAFIT CHANGE.* ....so kwa mwezi huu atlipa nusu ya bei ya GYM subscription💪

0 - 0

KUAFIT
Posted 3 years ago

www.kuafit.com/2021/09/faida-ya-kula-samaki.html tafadhali ukipata ujumbe huu naomba nisaidie kusambaza

1 - 0

KUAFIT
Posted 3 years ago

Kujenga na kuongeza mwili sio kazi rahisi Bali kwa kupata mafunzo sahihi na mlo sahihi nirahisi mtu kupata matokeo mazuri ..... congratulations Stella
Kwa mawasiliano 0653009477

1 - 0

KUAFIT
Posted 3 years ago

Weldone Vivian....watu wengi hudhani kuongeza mwili haiwezekani Bali ni kitu kinachowezekana hasa kwa jitiada na mazoezi sahihi bila kusahau lishe sahihi
Kwa watu watakohitaji huduma zetu tafadhali wasiliana nasi kwa number 0653009477

2 - 0