in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c
SHALOM WANA WA MUNGU IBADA YETU SIKU YA 2 ITAANZA SAA 4 ASUBUHI LEO,LIVE HAPA SHUHUDA ZA KWELI,BADO HAUJACHELEWA KUUNGANA PAMOJA NASI KATIKA MAOMBI HAYA..KARIBU SANA KWA MAWASILIANO JINSI YA KUFIKA 0712699762
19 - 2
SHALOM MAOMBI YA KUFUNGUA MALANGO YA SIKU TUTAANZA USIKU WA KUAMKIA JUMANNE USIKOSE TUWE PAMOJA
30 - 3
SHALOM KESHO BAADA YA IBADA TUTAKUWA NA UBATIZO NJOO NA NGUO ZAKO ZA UBATIZO KAMA UJAPATA UBATIZO ASANTE
24 - 2
MAANDALIZI YA MKUTANO WA INJILI DUMILA -MOROGORO KARIBU KUSHIRIKI BARAKA HII NA MUNGU AKUBARIKI MATAMANIO YETU WATU WAOKOKE NA KUMPA MAISHA YAO BWANA YESU
1. JUKWAA 350,000/=
2. MZIKI 500,000/=
3. TENT 350,000/=
4. VITI 50@300=15000X7=105,000/=
5. CHAKULA 300,000/=
6. UMEME 50,000/=
7. POSTERS A3 SIZE-321,100/=
8. KUBANDIKA MATANGAZO 30,000/=
22 - 7
Shalom karibu katika mwendelezo wa JINSI YA KUJIBIWA MAOMBI HARAKA https://youtu.be/djZYef79LWk?si=XrNTQ...
6 - 0
NENO LA MAARIFA NI CHANEL YA NENO LA MUNGU JIFUNZE NENO NA UTOKE KATIKA UTUMWA WA UONGO WA SHETANI
5 - 2
Lengo letu ni kuleta mafundisho yenye uzima kwa makanisa ya Kikristo na nuru ya ukweli kwa wale wanaoishi gizani. Tutaufunua ulimwengu wa roho kupitia ushuhuda wa kila mtu ambaye amepata uzoefu wake. Katika kurasa hizi pia tutaangazia dhana zisizo za kawaida, kurejesha injili ya kanisa la kwanza kwa ajili ya wokovu wa wale waliopotea. Hatutetei madhehebu au sehemu maalum; tuko wazi kwa wapentekoste, wa jadi, walutheri na wengineo.