Channel Avatar

LilOmmyTV @UCywK48GYFtWZvqjVrZU5CUw@youtube.com

None subscribers - no pronouns set

Your #1 source for all of the exclusives interviews, hottest


LilOmmyTV
4 months ago - 23 likes

Utajiskiaje pale umeacha na mpenzi wako afu baada ya kuachana week 1 tu amepost mpenzi mpya? #Sitetereki

LilOmmyTV
4 months ago - 85 likes

UNAWEZA KUISHI BILA NINI?

LilOmmyTV
5 months ago - 15 likes

Vingi vya kumuomba Mungu kabla hujamuomba utajiri!

LilOmmyTV
5 months ago - 52 likes

Hivi swala la kijana kutafutiwa Mchumba na wazazi lirudi tena au vijana waendelee kujichanganya tu!

LilOmmyTV
5 months ago - 99 likes

UNAHISI MWIJAKU KATUMIA KWELI BILLIONI 1.3 KUJENGA NYUMBA YAKE?

LilOmmyTV
7 months ago - 92 likes

Tazama full Interview ya #Ceccy hapa, https://youtu.be/-9yAYxwQ7Lk?si=dehB4...

LilOmmyTV
7 months ago - 169 likes

Komando Komando Komando 🧯

LilOmmyTV
7 months ago - 118 likes

Kamata Simu Janja ITEL SPESHO kutoka Vodacom Kwa Tsh 20,000 halafu lipia Tsh 850 mdogo mdogo! #ZaidiYaMtandao

LilOmmyTV
8 months ago - 67 likes

Vijana wengi wanapenda kufanya nini zaidi weekend?

LilOmmyTV
10 months ago - 315 likes

Mtwara we out here