Channel Avatar

@UCyohiKQEhESmbTyN4qkLZ4w@youtube.com

246K subscribers - no pronouns :c

Salaam, pleased to meet you. My name is Fathiya , I am a mo


Welcoem to posts!!

in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c


Posted 9 months ago

Nawatakia Ramdhani ya kheri na Baraka. M.Mungu atkubalie dua , ibada na saumu zetu

I wish you all a wonderful and blessed Ramadhan
May Allah accept our duas , prayers, and prayers saum

102 - 10


Posted 9 months ago

Salaam. Kama wewe ni mgeni kwenye channel yetu tafadhali angalia vizuri kwa kila kwenye video comment ya 1 utaona link ya lugha ya kiswahili
Comment kama hizi sio nxuri kabisa. Zinachafua mood

43 - 26


Posted 1 year ago

EID SPECIAL PETIT FOUR

Recipe in English https://youtu.be/kR4IffAA4oo


Recipe kwa kiswahili https://youtu.be/3s831I6Z5Ac

NAWATAKIA EID NJEMA YA KHERI NA BARAKA

57 - 4


Posted 1 year ago

Salaam! Lets get ready for Eid, please checkout our new recipe of this simple, rich and delicious Baked Yogurt dessert https://youtu.be/UcOK44-Va0Q

Asalaam Aleikum, niwakati wa kujiandaa na dessert za Eid, usikose kupita channel yetu kuona jinsi ya kutengeneza hii dessert simple na tamu. Baked yogurt yaani Mtindi wa kuoka https://youtu.be/W_VVuH9D_nc

42 - 3


Posted 1 year ago

Its been a beautiful weekend Alhamdulilah celebrating my son's 15th birthday at home and I wanted to share with all the some of the special family moments with you on how I prep and cook simple meal that's delicious and enjoyable . Thank you for supporting my new channel, please follow the link to watch https://youtu.be/IwZ5ElPcRyk

103 - 6


Posted 1 year ago

Asalam Aleikum, natumai nyote ni wazima. Leo nimeleta mapishi ya Spanapikota Triangles ambayo yamefanana na sambusa lakini hivi vitafunio finajazwa na mboga pamoja na cheese ya aina ya feta. Katika viungo vinavyotumika humo , kiungo kimoja cha aina ya Dill ni vizuri sana kama utatumia ili kupa ile ladha hsa inavyotakiwa, lakini kama hujapata basi jaribu kutumia majani ya Thyme , na kama utakua nnayo majani yote hayo 2 basi ni vizuri zaidi. Pishi hili ni zuri sana kwa aina ya sherehe au party za aina yoyote kwani unaweza kuandaa mapema ukaweka kwenye freezer kuganda halafu ukaoka siku yoyote utakayo penda. Nimeweka picha hapo ya majani hayo yakiwa fresh na pia makavu ili kufaham zaidi. Natumai mtajaribu hii recipe has siku ya Eid. Ahsanteni, nawatakia siku njema na lik ya recipe itakua hapa https://youtu.be/G_XpzI_YGqU



Asalam Aleikum, I hope you are all doing well and thank you for supporting my channel.
Today I have shared these delicious wonderful Spanakopita Triangles which resembles Samosa/Sambusa but they are filled with spinach and feta cheese. One of the most important ingredient in this recipe is the Dill weed which gives that authentic Greek taste , if you do not have it you try and use thyme or for better results use both. I am sharing a picture of both fresh and dry dill for better understanding. This recipe works well for gatherings or parties coz you can prep ahead of time and freeze to bake whenever you are ready.Thank you and I wish you all a wonderful day
The link to the recipe can be found here https://youtu.be/KewcnAbdlUM

66 - 7


Posted 1 year ago

Join me on on this short exciting road trip to Dallas with a stop at Buc-ees the one stop travel shop with some freshly made cookies and a giant 5 inch round cinnamon roll and more! https://youtu.be/FCaXzXqA-iA

106 - 7


Posted 1 year ago

Salaam aleikum, karibuni tena Aroma of Zanzibar, baada ya Ramadhan na saumu za Shawal sasa tumerudi kwenye taratibu za mwezi wa kula mchana. Leo nitawapeleka India kwa chakula cha asubuhi amabyo ni Channa Bhatura kama mnavyo ona hapo, usikose kupita kwa kupitia link hii https://youtu.be/nSXPfoXSjxA

Asalam aleikum my wonderful people, so after fasting for Ramadhan and Shawal now we are getting back to our normal routine so am taking you on quick trip to India to have this awesome breakfast called Channa Bhatura.
I have a small change on my channel, from now onwards my English version recipes will shift to another channel as I am trying to separate the 2. I will post the recipes as usual with a different location , I will really appreciate if you could kindly support by subscribing to my new channel on this link https://youtu.be/B0he7Kv6758

62 - 5


Posted 1 year ago

Salaam, please join me on my new vlog channel , lets get ready and go shopping and also cook some American delicious junk food.

https://youtu.be/hlsGw_4nRs8

79 - 2


Posted 1 year ago

Salaam just wanted to share my latest Vlog...am back again https://youtu.be/40S6P_kyWw8

69 - 11