Channel Avatar

Paza Sauti TVπŸ“’πŸŽ– @UCwRUzkZn1KQLqOu0T1rLfhQ@youtube.com

822 subscribers - no pronouns :c

KAZI YA INJILI AU IBADA NI KUUGEUZA MOYO,Yeremia5:1, Luka1:1


February 15, 2025 tubu zadhi zako dada,mama,kaka,baba,ujue Dunia hii inamwisho wake. Siku za mwisho kutakuwa na NYAKATI za HATARI..TUBUNI TUBUNI,ACHENI injili tunahubiri Kwa uchungu sana,lakini mwanadamu umekataa kuyaacha madhambi hayo😭😭😭 kijana unayeteseka na ROHO HIYO,inawezekana kupona kama unatafuta kupona,call no 0745759750 ubaya wowote unaoufanya na kuwafanyia watu WENGINE,hata kama unakunufaisha vyovyote,mwisho ni aibu. ubaya wowote unapoufanya,hata kama unakunufaisha,ila ufahamu ubaya huo utakuacha pabaya mda wowote" uholela huu NDIO uliopelekea KANISA lipoteze Radha yake πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸƒπŸ»πŸƒπŸ»πŸ˜­πŸ˜­.#marekani PArt2.Sikukuu tunazosherehekea Sikukuu zetu afrika ni uadui wa maendeleo yetu πŸŽ€πŸŽ€πŸƒπŸ»πŸƒπŸ» Matha Mwaipaja Kunaajenda gani kati yako na JOAN?? πŸƒπŸ»πŸƒπŸ»πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸŽ€πŸŽ€ Mwanadamu usijisahau #gospelmusic Tenzi no 58.MWAMBA WENYE IMARA by MARTINE JAMES Mbarikiwa Mwakipesile anaunguruma akiwa KAHAMA,KONGAMANO SIKU1 10.12.2024 Mwanamke kama unataka usiingie kwenye hukumu ya Mungu ijayo,TUBU LEI,ACHA KUVAA HIVI,MWAMINI YESU. WEWE NI WAKILI WA UFALME UPI..(MUNGU) au (SHETANI)?? "IMEWAPASA KUMWOMBA MUNGU SIKU ZOTE BILA KUKATA TAMAA".LUKA 18:1 MBARIKIWA MWAKIPESILE AKIWA MKOANI SIMIYU MWANZA NALIA MACHOZI MIMI KWA HABARI YA WANADAMU,MBONA HAMGEUKII,,TUBUNI TUBUNI,HUKUMU IPOOO. Wokovu sio Bwana asifiwe huku ukiwa lizinzi,liongo,malaya,mwizi,mtukanaji,unavaa kimalaya na kihuni. (The end,final part 3)DINI NI WEWE KUWA NA MAISHA MATAKATIFU. Part 2.UNASEMA UNADINI HUKU UNAMCHEPUKO,NI MZINZI,MLEVI??,SIKILIZA MAANA YA DINI NI HII Hii ndio maana ya dini.MARTINE JAMES AFAFANUA TENA.sikiliza Soma kwa umakini ujumbe huu.Ifike mahali mwandamu ukumbuke na kujuta.Acha kuishi kawaida ya shambi Acha kiburi cha uzima.Mwanadamu duniani unapita,usijisahau Siri kubwa iliyonyuma ya RAFIKI. Usiende kunywa mafuta ya upako,ama usitoe sadaka ikiwa haujaacha dhambi.Acha dhambi kwanza Zingatia hili,ili uweze kuwa na amani Mwisho wa ubaya ni aibu, Mwanadamu acha kiburi cha uzima,rudi msalabani,MHUBIRI 12:1-3 Part 3.Kuwa Mtakatifu Inawezekana. Part 2.Je Hakuna Awezaye kuwa Mtakatifu? Haiwezekani kuwa mtakatifu?? Tukiwa kwenye ibaada ya baraka sana.Kikosi kazi dodoma. Sina ya kutegemea Bwana,Ila wewetuπŸ™πŸ»πŸ™πŸ».ALHAMISI 28.11.2024. πŸƒπŸ»πŸƒπŸ»πŸƒπŸ».kimbia dhambini mwanadamu,RUDI MSALABANI πŸ˜­πŸ˜­πŸ™πŸ»πŸ™πŸ» Yesu anarudi,acha dhambi urudi kwake atakusamehe,na kukusafisha kabisa 😭😭😭😭😭🎀🎀🎀🎀 Nguvu ya msalaba inazidi kutenda kazi ndani ya maisha yangu Sina mwingine mwema wa kunihurumia,ila wewe BWANA YESU. Kilicho nyuma ya nywele za bandia Ni wajibu wangu kuchagua kuishi maisha ya kumtambulisha Mungu na wokovu wake. hukumu ipooooo.MWANADAMU MRUDIE MUUMBA WAKO.(MHUBIRI 12:1-2)