Channel Avatar

PERFECT SIDE @UCsVZRv9DWIY2CnCEs2WDW_Q@youtube.com

13K subscribers - no pronouns :c

PERFECT SIDE Innovation for the future🧑‍🔬📡🔬🛰️ Emails


Welcoem to posts!!

in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c

PERFECT SIDE
Posted 1 month ago

TUMALIZE UTATA.
🥼🥼🥼🥼🥼🥼🥼🥼🥼

JAMII NYINGI ZINAAMINI KWAMBA SAYANSI NA TEKNOLOJIA NI UCHAWI WA MAGHARIBI 😃.
MFANO, UNAVYOPIGA SIMU NA KUWASILIANA NA MTU ALIYE SEHEMU YA MBALI, KITENDO HICHI KINAWAFANYA WATU WENGI WAHISI NI UCHAWI NDIYO UNATUMIKA NA SIYO SAYANSI.

SWALI 😱
JE, SAYANSI INAHUSISHA UCHAWI❓

12 - 5

PERFECT SIDE
Posted 2 months ago

Unadhani gari za umeme zina nguvu sawa na gari zinazotumia mafuta?

11 - 4

PERFECT SIDE
Posted 2 months ago

UNAPENDA KUSIKIA NINI KUHUSU TEKNOLOJIA?

‪@Perfect_side_tz‬

16 - 6