Desturi, Mila & Tamaduni za Pwani!
Kwa watu wa pwani au waswahili huwa na tamaduni zao za ndoa
pamoja na mila zipatikanazo pwani au mwambao. Kwa maana hii,
ndoa za waswahili zina mengi ya kujifunza na ndizo zenye asili yetu.
Kutana na Sakina Lyoka a.k.a Mama wa dawa yao katika kukuletea
habari zote za wasanii wa muziki wa pwani wenye asili ya uswahili
uliojaa vijembe, tambo mbalimbali, jumbe & tafsida na burudani.
Hapa utapata hadithi zote
zinazo husiana na muziki alisia wa
mwambao wa pwani.
''NG'ARI NG'ARI 2022 SEASON''
Producer: Sakina Lyoka. @sakinalyoka_
Camera: Juma Katunda @Juma Katunda
Editor: Junior Syaary @Junior Syaary
Tazama Kipindi cha NG'ARING'ARI Clouds Tv kila Siku ya JUMAMOSI Saa 3 Kamili Usiku (09:00pm).
Marudio: Jumapili saa 11 Jioni (05:00pm) & Jumatano saa 7 Mchana (01:00pm).
Angalia Cloudstv kupitia:
⎮ Azam channel no. 403 ⎮ Dstv no. 387 ⎮ Startimes no. 109 / Antenna 497.