Channel Avatar

Durusu Kiswahili @UCodxqUQwOSCs1XwUXiKDEZA@youtube.com

1.1K subscribers - no pronouns :c

Kiswahili kinabadilika kila kuchao. Maneno mapya yanaongezek


Welcoem to posts!!

in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c

Durusu Kiswahili
Posted 1 month ago

Hii inakuhusu, Bodi ya Huduma za Maktaba inakualika katika maonesho ya vitabu. Tukutane panapo majaliwa. ‪@maktabazanzibar6661‬

3 - 0

Durusu Kiswahili
Posted 6 months ago

Ufunzaji wa Kiswahili kama lugha ya pili unaendelea kuimarika Marekani. Hata hivyo, aghalabu uhusiano baina ya Waafrika na Wamarekani Weusi umekuwa na changamoto. Katika wasilisho hili, Dkt Leonora Kivuva anaanzisha mjadala kuhusu jinsi kuimarisha uhusiano kunaweza kuleta maendeleo chanya kwa lugha na utamaduni wa Kiswahili.

0 - 0