Channel Avatar

Durusu Kiswahili @UCodxqUQwOSCs1XwUXiKDEZA@youtube.com

1.1K subscribers - no pronouns :c

Kiswahili kinabadilika kila kuchao. Maneno mapya yanaongezek


About

Kiswahili kinabadilika kila kuchao. Maneno mapya yanaongezeka na mengine ya awali yanaachwa au yanabadili maana. Durusu Kiswahili ipo kupambanua mabadiliko haya kwa kuangazia maneno mapya, maana mpya na jinsi yanavyotumiwa katika lugha hii adhimu ya Kiswahili. #DurusuKiswahili