Channel Avatar

Madam Leila Abubakar @UCn4uDXbvB9ANE3krYEPlk4Q@youtube.com

5.8K subscribers - no pronouns :c

"Hamasa kutoka kwangu hatua ni zako" Amua mabadiliko,Acha ma


Welcoem to posts!!

in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c

Madam Leila Abubakar
Posted 2 weeks ago

Ijumaa ya tarehe 30/8/2024 nitakuwa #live katika mtandao wa Tiktok kupitia akaunti yangu (Madam Leila Abubakar) kuanzia saa 3:30 - 4:15 usiku (saa za Afrika mashariki) inshaallah.



Karibu tuzungumze, tujadili mambo mbalimbali yanayotusibu katika maisha yetu ya kila siku.



Ahsante.

81 - 2

Madam Leila Abubakar
Posted 3 months ago

Leo saa 3:30 usiku nitakuwa Live katika mtandao wa Instagram.

28 - 0

Madam Leila Abubakar
Posted 3 months ago

"Lushoto sio kiwanda cha kuzalisha wadada wa kazi na wauza kahawa" __Japhari Kubecha

1 - 0

Madam Leila Abubakar
Posted 3 months ago

Leo Saa 3:30 Usiku nitakuwa #LIVE kwenye mtandao wa Tiktok inshaa Allah.

25 - 1

Madam Leila Abubakar
Posted 4 months ago

Hakuna mbadala wa changamoto lakini kuna nafasi ya kuzichukua kama funzo ujifunze au kama kaa(la moto) likuchome.

31 - 0

Madam Leila Abubakar
Posted 4 months ago

Ilikua wasaa mzuri kwangu kujumuika na ndugu zangu wa Simba Cement katika kupongeza harakati za kina mama katika ujenzi na ufanisi kwenye uzalishaji. Natoa pongezi kwa waandaaji na wasimamizi wa hafla hii, nawaombea Afya na Uzima..Amen

32 - 0