Channel Avatar

West Tv Live @UClXqmzg6y6qAZ5JGYZ1LKVA@youtube.com

1.6K subscribers - no pronouns :c

Westv is a Regional Tv Station found in Western Kenya. It is


03:57
Afueni kwa shule spesheli ya Chakombero baada ya kunufaikia msaada wa wakfu wa Mpesa
02:48
Mshukiwa wa wizi auawa baada ya kufumaniwa akiiba dukani katika soko la
02:55
Mtoto wa miezi miwili aokotwa baada ya kutupwa katika shamba la Miwa Matete
03:15
Mwanamume adaiwa kuuawa baada ya kufumaniwa na Mke wa mwenzake Isongo Mumias Mashariki
01:42
Mwanamume apatikana amefariki baada ya kutishiwa kifo na jirani yake
03:17
Ugumu wa mawasiliano unavyoathiri watu wenye matatizo ya kusikia kupata ajira
03:13
Wakazi wa Kapsitwet eneo bunge la Kwanza wakerwa na hali ya barabara katika eneo hilo
03:02
Wakazi wa Lugulu Mawe Tatu kaunti ndogo ya Likuyani wahofia uwepo wa chui eneo hilo
03:27
Wanaume wanyoshewa kidole cha lawama kutatiza juhudi za upangaji uzazi
02:56
Wanaume washauriwa kuwa wepesi kukumbatia suala la upangaji uzazi
02:41
Wizi wa mifugo umekuwa kero eneo bunge la Mumias Mashariki
54:17
Mahojiano na Kamanda wa Polisi Magharibi Kiprono Lagat (2)
32:55
Mahojiano na Kamanda wa Polisi Magharibi Kiprono Lagat (1)
03:08
Barabara hatari eneo la Nzoia kaunti ndogo ya Likuyani
03:29
Kero la ukosefu wa usalama na uhalifu eneo la Magharibi -1
03:53
Kero la ukosefu wa usalama na Uhalifu eneo la Magharibi - 2
02:59
Unyakuzi wa ardhi na uharibifu katika msitu wa makavazi ya kitaifa ya Kitale
03:05
Wakazi wa Makunga Mumias Mashariki wakerwa na hali ya barabara ya Isongo hadi Shianda
03:11
Wakenya washauriwa kukumbatia kazi katika taifa la Ujerumani baada ya mkataba na Rais Ruto
03:24
Wakulima wa majani chai wataka nyongeza zaidi kwa bei ya majani chai katika kiwanda cha Mudete
01:28:25
Sekta ya Elimu katika eneo la magharibi - Mbunge wa Lugari Nabii Nabwera
17:39
"Uimbaji wa kanisa sio sawa na ule wa kurekodi." Lylibeth Gathure
03:26
Kamati ya elimu imeangazia changamoto katika mfumo wa ufadhili wa elimu ya vyuo vikuu
03:02
Mtoto wa miaka 5 akufa maji baada ya kuzama katika mto Kipkaren Lugari
03:38
Sakata mpya katika wizara ya afya kabla ya kuzinduliwa kwa bima mpya ya afya nchini
03:10
Serikali ya Uingereza kuwekeza katika sekta ya kidijitali na kilimo katika kaunti ya Busia
03:05
Wakazi wa Pokot Magharibi wataka maafisa waliofuja fedha za basari kurejesha fedha hizo
03:45
Wanafunzi wa shule ya Upili ya Lunao waandamana kushinikiza kutimuliwa kwa mwalimu mkuu
03:10
Wanafunzi wa taasisi ya Bungoma North washiriki maandamano kulalamikia usalama duni
02:52
Viongozi wa kidini kaunti ya Bungoma wapinga vikali mswada wa kudhibiti dini
03:15
Hazina ya maeneo bunge NG-CDF imetajwa kuwa haramu nchini
02:43
Kijana wa miaka 22 auawa na mwili wake kuteketezwa baada ya kufumaniwa akiiba mahindi Tongaren
03:29
Mwanamume afariki baada ya kupokezwa kichapo akienda kumwona mpenzi wake Kanjala Butula
02:56
Mwanamume akamatwa baada ya kukuza Bangi katika shamba lake Marakaru Likuyani
04:22
Kuimarisha uzalishaji wa samaki kwa vidimbwi vya keji kaunti ya Busia
04:16
Mkazi wa Trans Nzoia ataka sheria ya kuoa mke wa pili kuangaziwa tena
02:39
Mjane kutoka eneo bunge la Ikolomani alalamika kunyanyaswa na Naibu wa Chifu wa Emuliro
03:19
Mwanafunzi wa Friends Kamusinga afariki baada ya kuanguka katika shimo la maji taka shuleni
51:31
The Morning Scoop
03:11
Mwanafunzi wa shule ya upili ya Shitsitswi agonga na lori la kusafirisha miwa na kufariki papo hapo
03:00
Maiti ya Mwanamke mwenye umri wa makamo umefukuliwa Mokoiywet kwa boma ambalo washukiwa wa uhalifu w
03:50
Washukiwa wawili wa wizi wa mifugo wanazuiliwa Mudete baada ya kupatikana na ngombe wa wizi
02:22
Baadhi ya wafanyikazi wanaojenga uga wa Masinde Muliro Bungoma wadai kutolipwa
03:16
Familia inataka adhabu ya kifungo kwa mshitakiwa aliyemnajisi na kumpachika mimba mtoto wao kuangazi
03:02
Familia za washukiwa wa mauaji ya kijana kwa hafla ya disko Matanga zinakadiria hasara kubwa
04:02
Mgomo wa wafanyakazi wa uwanja wa Ndege umesitishwa baada ya mgomo JKIA
02:59
Mwanamume amuua Babake Mzazi kutokana na mzozo kuhusu Nguruwe
02:55
Uongozi wa shule ya upili ya Wavulana na Bukhalalire Butula inaomba msaada baada ya bweni lake kutek
03:20
Wakazi wa Kaliwa,Waitaluk wataka shimo katika boma walimokamatiwa wahalifu kufukuliwa
03:28
Washukiwa watatu waliokuwa wakisafirisha Bangi kutoka Busia kuelekea Nakuru wanasakwa
05:24
Masaibu ya wanaotafuta huduma za afya katika hospitali ya rufaa ya Vihiga
02:26
Mwili wa mwanamume umepatikana umetupwa ndani ya Josho la Ngombe eneo la Luuya Tongaren
03:33
Naibu wa Rais Rigathi Gachagua asema hatishwi na ushirikiano na Rais Ruto na Raila Odinga
03:28
Wanafunzi 17 wa shule ya msingi ya Hillside Endarasha Academy wamefariki katika mkasa wa moto
04:22
Kukumbatia na kuzingatia matibabu ya mifupa na misuli
05:21
USAFI NA AFYA : Kero la Minyoo na Kichocho kaunti ya Bungoma
04:07
USAFI NA AFYA 2 : Kinachosababisha kuenea kwa Minyoo
53:33
The Morning Scoop
02:13
Kina Mama kaunti ya Kakamega wakerwa na matamshi ya Gavana wa kaunti hiyo Fernandes Barasa
03:52
Rais William Ruto atoa ahadi ya maendeleo zaidi kwa wakazi wa kaunti ya Bungoma