Channel Avatar

Diituni @UClXYruI5cTN_Dl6FM4J6vWA@youtube.com

144K subscribers - no pronouns :c

Katuni zenye stori za Vichekesho, Ucheshi, Kuvunja mbavu na

Welcoem to posts!!

in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c

Diituni
Posted 3 years ago

Tunaomba radhi kwa kuchelewa kutoa mwendelezo wa Madenge kwa sababu nilikua nauguza mgonjwa "Baba yangu Mzazi".

Japo bado hajapona ila nitajitahidi kutuma mwendelezo wiki ijayo. Asante

Episode ya Madenge:- www.youtube.com/playlist?list...

567 - 280

558 - 216

Diituni
Posted 3 years ago

Katika video iliyopita Mtoto wa Mzungu alitoroka kwao baada ya kukataliwa na Madenge, Je? Baba wa Mzungu ataamua kufanya nini baada ya mwanae kutoroka nyumbani, usikose mwendelezo weekend hii.

Pia kama ukuitazama video weekend iliyopita, unaweza tazama hapa chini... Asante.

59 - 8

Diituni
Posted 4 years ago

Tunaomba radhi kwa wafatiliaji wa video za Diituni kwa kuchelewa kutuma video mpya, ila tutajitahidi kuwahisha kutuma video mpya kwa kadri itakavowezekana. Asante.

Na pia kama ulipitwa na kipande chochote cha mfululizo wa Madenge, unaweza ukabonyeza hii link kutazama vyote :-
www.youtube.com/playlist?list...

927 - 187