Channel Avatar

Gangana Info Channel @UCjolIRJndTontb_oRpJybOA@youtube.com

370K subscribers - no pronouns :c

Karibu upate habari na matukio ya aina mbalimbali.


Welcoem to posts!!

in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c

Gangana Info Channel
Posted 1 month ago

7 - 0

Gangana Info Channel
Posted 10 months ago

Bofya👇kuona unyama wa Bexy Tz https://youtu.be/Iyz6iUWOX2E?si=Q5i3n...

13 - 1

Gangana Info Channel
Posted 11 months ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Samia Suluhu Hassan amewapongeza Vijana wa Tanzania Ramadhani Brother's kwa kushika nafasi ya tano katika mashindano ya vipaji nchini Marekani yajulikanayo kama American Got Talent.

"Hongereni sana Fadhili & Ibrahim (The Ramadhani Brothers) kwa hatua kubwa katika mashindano ya AGT 2023. Safari yenu ni alama ya Utanzania (bidii, nidhamu, kujituma, kujiamini na nia ya kufanya mambo makubwa). Mmeitangaza vyema nchi yetu. Mmelitendea vyema jina la Taifa letu."

9 - 1

Gangana Info Channel
Posted 11 months ago

Bondia namba 70 kwa ubora Duniani Hassan Mwakinyo amezua taharuki baada ya kuandika kuwa hatatokea katika pambano analotarajia kupanda ulingo siku ya kesho Sept.29 kuzichapa na Bondia Mkenya Rayton Okwiri.

Mwakinyo amendika kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa anatoa siku moja kwa Azam Tv kama atapigana ama lah.

"hapa tulipofkia nyinyi binafsi ndio mnaweza kutatua hii changamoto na Muda ni Leo tu "

12 - 0

Gangana Info Channel
Posted 1 year ago

RAIS SAMIA NA TUZO YA AFRIMA

9 - 0

Gangana Info Channel
Posted 2 years ago

MANDONGA APIGWA KO ROUND YA NNE NA KAONEKA

30 - 0

Gangana Info Channel
Posted 3 years ago

Asante kwa kutuamini tunaomba Subscribe channel ‪@ganganainfochannel‬

44 - 6

Gangana Info Channel
Posted 3 years ago

Subscribe ‪@ganganainfochannel‬

33 - 2