Tamaduni TV 》 Ni online channel, yenye maudhui ya #Ngoma, #Nyimbo, #Burudani na mambo ya #Kitamaduni za #Tanzania na #Afrika kiujumla.
Maudhui haya yanalenga kukuza, kuendeleza, kufundisha na kuhifadhi tamaduni zetu, hasa upande wa burudani zetu kama vile ngoma na nyimbo mbalimbali.
MAWASILIANO
Phone: 0624909907
Email: