Stephen Ni mjuzi wa kujifunza Na Kufundisha wengine
Alianza Safari ya kuwa Youtuber kwa Lengo La Kuelimisha Jamii kuepukana Na Namna Nzuri Ya Kutambua Uzima wa Afya zao,
ikiwemo Magonjwa Mbali mbali, Afya Ya Akili na Mwili, Tiba Na Madhara, Uzazi Na Mimba
Pamoja Na Elimu kwa Wanafunzi, Kutoa Mbinu za Kumsaidia Mwanafunzi Kufanya Vizuri Kwenye Masomo Yao
Kufaulu, Hatua, muda na Hata Vyakula Yani Mlo Kamili
Stephen amekuwa Mbobeza Na Anafahamu Zaidi Masuala Ya Mimba Na Uzazi, Virutubisho lishe, HIV /AIDS, Maradhi Ya Wanawake Pamoja Na Vyanzo vya Maradhi Kwa Binadamu!
Amekuwa Akiomba Watu wa Subscribe Kwenye Channel Yake ili Jumbe Zake za Msingi Ziwafikie Wengi Kwa Muda Mmoja
Mbali Na Hayo Stephen Ana Familia Na Watoto. Hivyo ni Alama Kwa Kizazi Kijacho
Kutambua Umuhimu wa Elimu na Afya Bora
"Shriki Fursa Niifanyayo Mimi"!
youtube.com/channel/UCfcYOQ4cTFEPKu0_YYYNyTA
Shiriki fursa:
chat.whatsapp.com/DcK9tVsHByQ1jYB4za3OT2
Www.kalongatv.com