Channel Avatar

AlhudaTv Kenya. @UCdTAsRrQEp-IVoMzKoRG4ZQ@youtube.com

30K subscribers

Welcome to Al-Huda TV, a broadcast media channel located in


Welcoem to posts!!

in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c

AlhudaTv Kenya.
Posted 3 days ago

LEO KATIKA MIMBAR YA AL-HUDA TUTAKUWA NA SHEIKH ABDULRAHMAN KUTURA akizungumzia Subra. Ungana nasi kuanzia saa sita kamili kupitia runinga ya Al-Huda TV na mitandao yetu ya kijamii

25 - 0

AlhudaTv Kenya.
Posted 1 week ago

𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗠𝗜𝗠𝗕𝗔𝗥 𝗬𝗔 𝗔𝗟-𝗛𝗨𝗗𝗔 Ijumaa hii khatibu wetu atakuwa Sheikh Mbarak A. Awes akianganzia suala ambalo huwa tunalibeba katika vifua vyetu kwa niaba ya familia na wapenzi. Jumuika nasi Masjid Al-Huda kwa khutba kuhusu Kuunga Nyoyo ama pia tupate mubasharah kupitia runinga ya Al-Huda TV na pia mitandao yetu ya kijamii kuanzia saa sita mchana Ijumaa hii.

47 - 4

AlhudaTv Kenya.
Posted 1 week ago

𝗥𝗔𝗕𝗜-𝗨𝗟-𝗧𝗛𝗔𝗡𝗜 𝟭𝟰𝟰𝟳 𝗔𝗛! Je, wajua huu ni mwezi wa ngapi katika takwimu ya Kiislamu?

17 - 1

AlhudaTv Kenya.
Posted 2 weeks ago

𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗠𝗜𝗠𝗕𝗔𝗥 𝗬𝗔 𝗔𝗟-𝗛𝗨𝗗𝗔 𝗜𝗝𝗨𝗠𝗔𝗔 𝗛𝗜𝗜 tutakuwa na sharaf ya kumsikiza imamu na mwalimu wetu Sheikh Mbarak A. Awes mada yake ikiwa ni Tabia ya Uzuri. Jumuika nasi Masjid Al-Huda kuanzia saa sita ama mchana ama pia tupate mubashara kwenye runinga ya Al-Huda TV na pia mitandao yetu ya kijamii.

52 - 1

AlhudaTv Kenya.
Posted 3 weeks ago

𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗠𝗜𝗠𝗕𝗔𝗥 𝗬𝗔 𝗔𝗟-𝗛𝗨𝗗𝗔 leo tutakuwa na Imam wetu Sheikh Mbarak Ahmed Awes akifafanua hasa tukio la kushikwa kwa mwezi. Ungana nasi kuanzia saa sita kamili kwa khutba ya leo kupitia runinga ya Al-Huda TV na pia kwenye mitandao yetu ya kijamii.

59 - 0

AlhudaTv Kenya.
Posted 1 month ago

𝓙𝓤𝓜𝓤𝓐𝓗 𝓚𝓐𝓡𝓘𝓘𝓜!

40 - 1

AlhudaTv Kenya.
Posted 1 month ago

𝗪𝗔𝗦𝗜𝗠𝗔𝗠𝗜𝗭𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗦𝗝𝗜𝗗 𝗔𝗟-𝗛𝗨𝗗𝗔 𝗡𝗔 𝗔𝗟-𝗛𝗨𝗗𝗔 𝗧𝗩 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗙𝗨𝗥𝗔𝗛𝗔 kuwaalika waislamu wote kwa Kikao Cha Sera Ya Mtume Muhammad (SAW) kitakachofanyika siku ya Alhamisi Masjid Al-Huda kuanzia baadal Maghrib. Mgeni wetu mwaka huu atakuwa Al-Habib Abubakar Aidarus Bin Sumeit. Ujio wako utakuwa furaha yetu inshaAllah.

40 - 1

AlhudaTv Kenya.
Posted 1 month ago

𝗟𝗘𝗢 𝗜𝗞𝗜𝗪𝗔 𝗡𝗜 𝗛𝗔𝗧𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗜𝗛𝗔𝗗𝗛𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗙𝗨𝗡𝗚𝗢 𝗦𝗜𝗧𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗦𝗝𝗜𝗗 𝗔𝗟-𝗛𝗨𝗗𝗔 atakaye tufungia darsa za mwaka huu ni Sheikh Hamza Rage, naibu wa Imam Masjid Al-Huda akizungumzia Hijjatul Wadaa. Ungana nasi baadal Maghrib kupitia Al-Huda TV na pia mitando yetu ya kijamii.

33 - 0

AlhudaTv Kenya.
Posted 1 month ago

𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗠𝗜𝗛𝗔𝗗𝗛𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗙𝗨𝗡𝗚𝗢 𝗦𝗜𝗧𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗦𝗝𝗜𝗗 𝗔𝗟-𝗛𝗨𝗗𝗔 mhadhiri wetu atakuwa Sayyid Omar Al-Hamid akizungumzia kukombolewa kwa mji mtukufu wa Makkah. Ungana nasi baadal Maghrib Masjid Al-Huda ama pia tupate kupitia runinga ya Al-Huda TV na pia mitandao yetu ya kijamii.

24 - 0

AlhudaTv Kenya.
Posted 1 month ago

𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗠𝗜𝗛𝗔𝗗𝗛𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗙𝗨𝗡𝗚𝗢 𝗦𝗜𝗧𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗦𝗝𝗜𝗗 𝗔𝗟-𝗛𝗨𝗗𝗔 leo tutakuwa na Sheikh Ali Awsat akiendeleza maudhui ya Da'wa ya Mtume Muhammad SAW Madina. Sheikh Awsat ataangazia mada ya vita ya Mu'tah na athari yake katika historia ya Uislamu. Ungana nasi baadal Maghrib kupitia runinga ya Al-Huda TV na pia mitandao yetu ya kijamii.

23 - 0