📚Hii ni channel inayofundisha lugha ya kiingereza cha kuongea na kuandika kupitia njia rahisi sana☑️
📚Tunakushauri kuangalia na kusikiliza kila somo maranyingi, kila muda utakao sikiliza utaelewa njia za kuongea, kuandika na usahihi wa matamshi ya kiingereza kiundani zaidi☑️
📚Kufundisha lunga ya kiingereza imekua ni lengo na furaha yangu kwa miaka kumi na tano sasa☑️
📚Subscribe to my channel na bonyeza alama ya kengele ili uwe miongoni mwa wanafunzi watakao jifunza kiingereza kupitia channel hii, karibu sana☑️.