Hlw Fam..
Napenda kuwa karibisha kwenye channel yetu mpya.. Channel ambayo ipo kwaajili ya kukumbushana kuhusu muziki wa zamani pamoja na kuenzi chimbuko la muziki wetu pendwa wa Bongo Fleva.
Tunapenda kuwaomba wadau wote wa muziki huu wa zamani wa Bongo Flava msiache kusubscribe kwenye channel yetu hii ya Youtube,kuacha comment,kuacha like pamoja na kushea nasi ni nyimbo ipi unatamani kuona tunaipandisha kwenye channel yetu ya Youtube ...