Sisi Ni Waimbaji wa Nyimbo za Injili Zanzibar, Tunamtumikia Mungu Maana yeye Anastahili, Tupo tayari kwa Mialiko yoyote ya Kihuduma, mikutano,nk.. Karibu ushiriki Baraka kupitia Nyimbo zetu zilijaa uwepo wa Mungu..Tupo Chini ya Kanisa La ZICC KARIKOO Zanzibar kwa Mchungaji Dickson Kaganga...
Karibu U subscribe,Kulike, Kushare na kucoments..
Mungu akubariki sana.
Follow Zares Choir
#instagram
#facebook
Wasiliana nasi kupitia no
+255 718 617 290
+255 747 755 672