GAWAZA BRAΔ°N ni kampuni ya inayohusu ufundishaji Wajasiriamali na uuzaji wa kemikali rejereja kwa wajasiriamali.
Ofisi zetu zipo. Tabata Mwannachi. ( Mandela Road), Kitabu kipo tayari kinaitwa MWONGOZO KWA WAJASΔ°RΔ°AMALΔ°.
Calls : 0718-567689+ ofisi / 0684-863138+ Gawaza / 0620-320597+ ofisi
UTENGENEZAJI WA BIDHAA (products) MBALIMBALI
- Sabuni za maji.- Sabuni ya unga.- Sabuni ya kipande.- Sabuni ya magadi.- Sabuni za chooni.- Window cleaner & glass cleaner.- Handwash gel.- Multipurpose soap.- Airfresh making.- Hair shampoo- Batiki aina mbalimbali- Mafuta ya kupaka- Mafuta ya nazi- School chalks.- Utengenezaji wa dawa ya madoa (JIKI).
UTENGENEZAJI WA VYAKULA MBALIMBALI
-Tomato & chilli sauce- Karanga za mayai- Ubuyu wa zanzibar- Biskuit za tangawizi
Masomo 30+ yapo katika kitabu na yote utayapata kwa Gharama nafuu ya shilingi 10,000/ tu.
#Gawaza Brain