Channel Avatar

Elimika Mtandaoni @UCXhRQiejZj1AoI8IT2MAt7Q@youtube.com

12K subscribers - no pronouns :c

Empower your digital journey with our channel! Dive into ess


Welcoem to posts!!

in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c

Elimika Mtandaoni
Posted 2 years ago

Sikia kijana wa kiume, kadiri unavyoongeza idadi ya wanawake katika maisha yako unaendelea kusogea karibu zaidi ya mstari wa umasikini wako wa kudumu,badilisha mtazamo baki na mmoja ambaye mnafanana kwa namna mnavyoangalia "future"...usione sifa eti ukiwa nao wengi ndio utaonekana shababi,nikunong'oneze tu hamna wa kukuona shababi ni kwamba unaonekana mshamba tu...iko hivi kama ukiwa na mmoja na labda katika kusaidiana ukawa a matumizi ya elfu 50 basi ukiwa na watatu jua utatumia laki moja na 50,si mtaji huu tayari?...akili mtu wangu ‪@ElimikaTz‬ ‪@elimikasasa643‬ ‪@elimikafilms268‬ ‪@VijanaPowerTV‬ ‪@ElimikaFastaTV‬ ‪@millardayoTZA‬ ‪@dplatnumz‬ ‪@Rayvannychui‬ ‪@udomcivestudio4159‬

1 - 0