Channel Avatar

ENELE BOWDEN @UCWmXI9Q5ys0a6lWD-INWJwQ@youtube.com

792 subscribers - no pronouns :c

Welcome to my channel in here we're going to learn on how pe


Welcoem to posts!!

in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c

ENELE BOWDEN
Posted 2 weeks ago

Upitiapo Hali ya kutokueleweka kwa watu wakikupa VITISHO mbalimbali ilihali unafanya Haki kwa kufanya maelekezo MUNGU akupayo,usije ukamwogopa mwanadamu( kuwahofia wanadamu kunaleta mtego na amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu) kwasababu huyo hutumika na adui KATIKA kupingana na Yale mambo makuu MUNGU aliyoyaweka ndani yako kwahiyo hivyo vita na vya MUNGU na si vyako SI vya damu na nyama
pale atuambiapo adui yako ni adui yangu usipigane Mimi bwana nitakupigania na mwishowe atuambia tusizitegemee akili zetu WENYEWE tukimtegemea yeye tutakaa salama

3 - 2

ENELE BOWDEN
Posted 1 month ago

MAFANIKIO halisi ni Yale yatokanayo na wewe kuweza kujua UPEKEE WAKO na kuuishi,,namna pekee ya kujua UPEKEE WAKO ni pale uwezapo kuhusiana na Muumba wako yeye ndiye aliyekujua kabla hajakuweka kwenye tumbo la mama yako( he predestined you),,kazi ni kwako kujua Yale mambo MAKUU Mungu aliyoweka tayari ndani yako ili uweze kuyaishi hayo ,, Barikiwa Sana #UPEKEE WAKO

3 - 0