Kituo hiki kimeundwa kwa malengo ya kurusha matangazo mbali mbali yenye maudhui yanayoendana na nchi yetu, miongoni mwa mambo yanayopatikana katika kituo hiki ni pamoja na urushaji wa matukio ya kijamii, midahalo, vipindi maalum, vipindi vya dini, makala fupi, maghafali n.k kwa mawasiliano nasi piga sim namba +255 777 122 543