Channel Avatar

KingoFarm @UCWC04meKonx4HL63ICL6rOA@youtube.com

16K subscribers - no pronouns :c

More from this channel (soon)


Welcoem to posts!!

in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c

KingoFarm
Posted 3 months ago

Mashine ya kutotolesha Mayai,
Bado mpya,
Uwezo Mayai 96.
TSH 350,000/=

Eneo Vikindu mkueanga,
Tupigie 0712188239

8 - 2

KingoFarm
Posted 5 months ago

KingoFarm

Tunawakaribisha kwenye kundi la elimu ya ufugaji huu mwenzi April, Kwa malipo ya TSH 3,000/=,

*Huduma zitakazoatikana*
1. Kupata huduma za mawasiliano ya Moja Kwa Moja kutoka Kwa mtaalam WA afya ya kuku, Kwa kumpigia simu 0712188239
2. Ushauri kuhusu UFUGAJI WA kuku kibiashara
3. Tutashare CHANGAMOTO humu kwenye kundi za UFUGAJI WA kuku
4. Shuhuda za kweli kutoka KingoFarm.
Asanteni na karibu sana KingoFarm

1 - 4