Almasi ni Mkurugenzi Mtendaji na Mwanzilishi wa kampuni ya LODNESS ENTERPRISES Inayojihusisha na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za kijasiriamali pamoja na kuwajengea uwezo watu wengine kwa kuwafundisha ujasiriamali...
Channel hii ni maalumu kwa ajili ya elimu ya ujasiriamali wa kutengeneza bidhaa mbalimbali za viwandani ukiwa nyumbani na kuweza kufikia malengo ya kujiajiri na kutimiza ndoto zako katika uzalishaji wa bidhaa za viwandani kupitia mikono yako...
Almasi Ramadhani Saidi mwenye namba 0783500971 ndiye mmiliki halali wa channel hii ya YouTube na ndiye mtoa maudhui wa channel hii ya Daraja la wajasiriamali Mwalim Almasi Ramadhani Saidi...
Pia ni mwandishi wa vitabu vya kijasiriamali vinavyotambulika kwa jina la (MILIKI KIWANDA CHAKO, UJASIRIAMALI NI AJIRA NA NGUVU YA MAAMUZI MAISHANI),
Ukiwa una changamoto yeyote basi ni vyema kuwasilisha maoni yako katika maudhui au kuwasiliana na mhusika kwa namba 0783 500 971.
(Subscriber,like,share,commet)