Maxtech tv ni youtube channel number moja ya teknologia Tanzania hapa utapata review za smartphone, apps, laptop, computer, magari utajifunza kuhusu teknologia zinazotatua matatizo mbalimbali hapa dunia kama mawasiliano, usafili, uchumi n.k taarifa mbali mbali kuhusu teknologia yote haya kwa lugha nzuri na pendwa ya kiswahili karibu Maxtech tv.