Channel hii ni mahususi kwa ajili ya kuonyesha mishono mbalimbali ya Vitenge na vitambaa, magauni mafupi na magauni marefu pia utaona mishono ya jinsia zote jinsia ya kiume na jinsia za kike mishono ya watoto jinsia zote pia utaona video mbalimbali za urembo kama vile kupata make up, kushonea maweaving, styles za kusuka na mambo yote yanayohusiana na urembo. Karibuni sana.
This channel its all about African dresses styles including African hair styles, Wedding dresses fashion from different parts of Africa.
Don't forget to subscribe our YouTube channel and sharing it.