Hii channel yetu #i.e.b tv inahusika na uigizaji wa filamu pamoja na michezo mbali mbali sawasawa na changamoto za kisasa zihusianazo na haya maisha ya dunia.
#i.e.b tv ni chanzo cha burudani ya uigizaji bora.
Kazi yetu hapa,nikuhakikisha binadamu wamepata burudani kwakuwapa mambo tofauti sana na habari kadhalika kutoka kwa manyota mengine kupitia kwenye #film#newsandarts#cinematic series and#skeches from 🇧🇮.
Please #Subscribe#set up notification bell#like#share and #comment kwenye hii Channel #i.e.b tv to encourage the team worker.