Channel Avatar

JWS Herbal Clinic @UCQadjK1CDo6EmmhqeChokQg@youtube.com

639 subscribers - no pronouns :c

Karibu kwenye Channel hii Ili upate elimu sahihi ya Tiba ya


Welcoem to posts!!

in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c

JWS Herbal Clinic
Posted 1 day ago

Ni mazoezi yanayofanywa kwa kurudiarudia kwa kukaza (kubana) na kuachia misuli inayopo kwenye uvungu wa pelvis. Misuli hii huitwa misuli ya pubbocoxygennus (PC) na ndiyo misuli inayofanya kazi ya kudhibiti ufanyanyaji kazi wa dhakari. Mazoezi haya pia huitwa Pelvic Floor Exercises au PC exercises. Eneo ilipo misuli hii ni katikati ya kinena na mwisho wa uti wa mgongo.

Namna Ya Kufanya Mazoezi ya Kegel
Hapa naelezea mazoezi rahisi yenye lengo kuu la kukusaidia kuimarisha misuli yako usitokwe na mkojo ovyo na uweze kuongeza muda wako wa kufika kileleni.

Ukiwa umesimama au umekaa, legeza viungo vyako vyote vya mwili, usikaze matako wala misuli yako ya miguu au ya tumbo. Kaza misuli yako ya uvungu wa sehemu nyeti kama vile unazuia mkojo usitoke. Ukiwa bado umeikaza misuli hiyo, hesabu sekunde 3 hadi tano kisha ilegeze (ukiweza kuhesabu sekunde zaidi ni vizuri zaidi). Fuata ratiba uliyopewa hapa chini kuendelea na mazoezi yako.
Wiki 1 mikazo 30 kwa siku
Wiki 2 mikazo 30 kwa siku mara mbili kwa siku
Wiki 3 mikazo 45 kwa siku mara mbili kwa siku
Wiki 4 mikazo 60 kwa siku mara mbili kwa siku
Wiki 5 mikazo 75 kwa siku mara mbili kwa siku
Wiki 6 mikazo 90 kwa siku mara mbili kwa siku
Wiki 7 mikazo 90 kwa siku mara mbili kwa siku ongeza mikazo 30
Wiki 8 mikazo 90 kwa siku mara mbili kwa siku ongeza mikazo 45 n.k.

Kumbuka kuwa inabidi uyafanye mazoezi haya kwa muda mrefu kidogo, lakini manufaa yake ni makubwa mno katika kukuwezesha kumudu kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu zaidi na kukufanya usikie raha zaidi unapofika kileleni.

FAIDA ZA MAZOEZI HAYA
Mazoezi ya Kegel yamethibitishwa kusaidia kuondoa matatizo ya kutokwa na mkojo bila kukusudia hali ambayo kwa wanawake hujidhihirisha zaidi baada ya uzazi. Kwa wanaume mazoezi haya husaidia tatizo la kuwahi kufika kileleni au kwa maneno mengine kumaliza tendo la ndoa upesi. Yanawasaidia pia wanaume kuwa na uume unaosimama kwa nguvu zaidi (increased size and intensity of erections).

Ukitaka uyafanye mambo kuwa mazuri zaidi andaa na dawa ya kunywa

Tafuteni Tangawizi kubwa nne au sita [osha, menya kisha katakata vipande], Vitunguu saumu ujazo wa glass moja [menya vizuri kuondoa maganda yake], Unga wa msamitu vijiko nane, Unga wa mdalasini vijiko sita mpaka nane, Unga wa habat sawda [black seed] vijiko vinne mpaka sita.

Chukua Tangawizi na Vitunguu saumu uweke kwenye blenda kisha usage mpaka vyote viwe laini.

Weka Unga wa Msamitu, Mdalasini na Unga wa Habat sawda kwenye blenda kisha taratibu huku ukiwa umewasha blenda mimina taratibu Asali mbichi ya nyuki wadogo mpaka lita nzima iishe kwa muda wa kama dakika mbili juisi yako itakuwa tayari.

Zima blenda na uweke juisi yako kwenye kifungashio safi ikae kwa masaa 6, itakuwa tayari kwa matumizi

MATUMIZI:
Utakuwa ukilamba/kula vijiko viwili asubuhi unapoamka kabla hujala chochote, na usiku utatumia tena vijiko vitatu kabla ya kulala

Nikukumbushe kwamba hii tiba yako ni kwa ajili ya changamoto zako zote za kukosa nguuuvu za kiume
Kuanzia kwenye kuongeza wingi na ubora wa manii, kuondoa athari zilizotokana na upigaji punyeto na kuongeza kiwango cha msisimko wa tendo la ndoa.

Unaweza kutumia Tiba Asili ambayo tumekuandalia Tayari

Ni ya kunywa, unatumia vijiko vitatu asubuhi na vijiko vitatu usiku

Dozi unaipata kwa Tsh 250,000 tu (Unaletewa bure / free delivery popote ulipo

Unaitumia kwa siku 35 na kumaliza kabisa tatizo la ngu*vu za kiume

Mafuta ya Kunyoosha Uume unapata Bure Ukitaka

Wasiliana nasi kwa Kupiga Simu / WhatsApp 0620165254

Nikutakie mafanikio katika kuijenga Afya na Furaha Ya Ndoa.

Karibu jws clinic

1 - 0

JWS Herbal Clinic
Posted 1 day ago

Dhana potofu yenye madhara makubwa ni kutumia barafu kubana uke.

Kwa haraka haraka unaweza kudhani vibarafu vinabana uke kwa sababu ukiviweka ukeni uke unasinyaa .
... hii huwa ni hali ya muda mfupi sana.

Baada ya muda uke hurudi katika hali yake ya kawaida.

Madhara ya kuweka barafu ukeni ni makubwa zaidi kuliko hiyo faida ya kubana uke kwa muda mfupi.

Mfano kuna ishu inaitwa ICEBURN;

Huu ni muunguzo /mbabuko unaotokana na baridi la barafu

na kwa kawaida uke huwa na ngozi laini hivyo ni rahisi ngozi kuunguzwa na barafu.

Vile vile kuweka barafu ukeni inaweza kusababisha magonjwa hasa ya fangasi ya mara kwa mara ukeni kwa sababu ya barafu kuondoa bakteria wazuri wanaolinda uke dhidi ya bakteria wabaya

Unapenda kubana uke, basi fanya mazoezi mepesi ya kegel, yoga na balansi uzito wa mwili wako

Usisahau kumfundisha mwingine

Pia ninayo habari njema kwa wafuasi wa ukurasa huu dawa IPO iitwayo chai Dada inagharimu 350,000 tu

Hii ni maalumu kwa wewe unayetaka kusafisha mirija ya uzazi, kutoa uchafu kwenye kizazi, makovu kwenye kizazi, maambukizi ya fangasi (P.I.D), vivimbe (ovarian cysts & fibroids) na kubalansi homoni kwa wewe mwenye shida ya hedhi kusumbua

Wasiliana nasi 0620165254

1 - 0

JWS Herbal Clinic
Posted 1 day ago

Wengi migongo, viuno, nyonga vinauma hali ya kuwa hospital tunapima na hatuambiwi tatizo...! Wengi wetu tunafanya shughuli / kazi za kukaa muda mrefu, kusimama muda mrefu au kuinama kwa muda mrefu na kwa kuwa hatuna utaratibu wa mazoezi basi hujikuta tunapata changamoto hizi za nyonga, kiuno au mgongo kuuma/kukaza

Katika kesi kama hizi, nakushauri kujipa walau dakika 10 tu kwa siku kufanya mazoezi mepesi ya hivyo viungo vinavyouma

Nikisema kufanya mazoezi mnajua ni kwenda gym, hapana

ninachomaanisha mie, mazoezi ni kuushughulisha mwili tu, yapo mazoezi yasioumiza mwili kabisa mfano Yoga, Kegels, kuruka kamba, kutembea dakika30 kwa kasi bila kusimama, mchakamchaka, wanawake nshawaambia hata kukata viuno ni mazoezi muhimu kwa afya ya mirija, nyonga na kiuno

Kwa wanandoa, jitahidi kufikishana kileleni

Moja ya faida ya kufika kileleni ni kuondoa tatizo la mgongo, kiuno na nyonga kukaza na ndio maana wanaume wengi hili tatizo hatuna kwa sababu tunajitahidi kufika kileleni almost katika kila tendo, basi mwanamke nawe zungumza na mumeo mnapokuwa jimai, usikae kimya, utapoguswa ukahisi kunogewa mwambie ashikilie hapo hapo ili iwe rahisi kwako kufika kileleni

Chanzo kingine cha maumivu ya mgongo na viuno ni sehemu tunazolala, godoro kuwa gumu sana au kulalia godoro ambalo limeisha

Pia kukosa kunywa maji ya kutosha na kukosa kulala kwa muda mrefu hupelekea matatizo ya viungo kuuma

Twambie hapo chini ni changamoto gani inakupa shida,inakunyima usingizi na kukupa maumivu makali je ni vidonda vya tumbo,acid, bawasiri,presha, kisukari n.k niambie hapo chini

Health consultation
Tunajali afya yako

1 - 0

JWS Herbal Clinic
Posted 1 day ago

MAZOEZI YA KUKAZA UKE ULIOLEGEA

Fanya mazoezi yafuatayo
1. KEGEL – Wakati unakojoa mkojo wa kawaida uwe unajizuia kwa sekunde 10 au 15 kisha unaendelea hivyo hivyo, yaani unakojoa kidogo unaacha kwa sekunde 10 tena unakojoa hivyo hivyo huku unapumzika mpaka unamalaiza. Fanya zoezi hili mara 3 mpaka 4 kwa siku ukienda kupata haja ndogo.

Zoezi hili kwa mjibu wa watafiti ni kuwa linasaidia kukaza misuli ya uke.

2. SQUATS – Hili ni zoezi lingine zuri la kubana uke uliolegea. Ni kusimama na kuchuchumaa, kuchuchumaa na kusimama hivyo hivyo mara 15 kwa mizunguko mitano mara 2 kila siku.

Zoezi hili linasaidia pia kuwa na maungo mazuri na faida nyingine nzuri za kiafya.

3. LEGS UP – Lala chali kisha nyanyua mguu mmoja juu kisha shusha chini na unyanyuwe mguu mwingine juu na ushushe chini hivyo hivyo mguu mmoja juu kisha chini, kisha mwingine juu chini ukichoka unapumzika kisha unaendelea hivyo hivyo kila siku kwa dakika 15 mpaka 20 mpaka kifaa chako kitapokuwa sawa

1 - 0

JWS Herbal Clinic
Posted 1 day ago

FAIDA YA KEGEL NA JINSI YA KUFANYA MAZOEZI YA KEGEL (Wanaume)

Kufanya mazoezi ya Kegel ni muhimu kwa kila mwanaume, nasema hivi kwa sababu ni zoezi ambalo kila aliyelifanya mara kwa mara ndani ya wiki tatu basi ameweza kuwa na utofauti mkubwa tofauti na mwanzo.

Nasisitiza kuendelea kufanya Kegel Exercises kwa sababu zifuatazo;

1: Ni zoezi linalochukua muda kidogo sana hata kwa dakika tano tu pia unaweza kulifanya popote hata kama upo ofisini I will show you how to exercise

2: Kegel ni kwa watu wa rika zote na jinsia zote ila kwa mwanaume ni kwamba inaimarisha nyonga, kukaza misuri ya uume na kuufanya usimame haswaa unapokuwa na msisimko wa tendo la ndoa

3: Inathibiti ukuaji wa tezi wa dume na kuondoa uwezekano kabisa wa kutokupata tatizo la kuvimba tezi dume na maumivu ya kibofu

4: Kama unashindwa kujizuia kufika kileleni, anza leo mazoezi ya kegel kisha uone umahiri wako kitandani utakavyoongezeka

5: Kegel inakuwezesha kufungua na kufunga kwa mishipa ya artery na vena katika kusafirisha damu kwenye misuri ya uume hivyo kukupa uhakika wa kufanya vizuri uwapo faragha.

JINSI YA KUFANYA KEGEL EXERCISES

i. Ukiwa umesimama au umekaa, legeza viungo vyako vyote vya mwili, usikaze makalio wala misuli yako ya miguu au ya tumbo. Kaza misuli yako ya uvungu wa sehemu nyeti kama vile unazuia mkojo usitoke. Ukiwa bado umeikaza misuli hiyo, hesabu sekunde 3 hadi tano kisha ilegeze (ukiweza kuhesabu sekunde zaidi ni vizuri zaidi).

ii. Pia unaweza kuifanya kegel exercises asubuhi unapoamka au muda wowote ukiwa umepumzika kwa kufanya hivi.

Lala chali kisha kunja miguu yako na hakikisha mikono yako inagusa visigino vya miguu, nyanyua kiuno chako juu mpaka uhisi misuli ya makalio imebana kwa sekunde 15 shuka taratibu kisha relax halafu nyanyua tena kiuno (rudia zoezi angalau mara 15 asubuhi na usiku) kama una muda unaweza kufanya maradufu zaidi.

Tahadhari! Zingatia kunywa maji ya kutosha unapomaliza zoezi, hii inakusaidia misuri iimarike zaidi.

2 - 0

JWS Herbal Clinic
Posted 1 week ago

Baadhi ya shuhuda za watu waliotumia dawa ya bawasiri iitwayo pile care
*IJUE DAWA YA PILECARE NA JINSI INAVYOWEZA KUTIBU CHANGAMOTO YA BAWASIRI*

Pilecare ni dawa ya asili ambayo imethibitishwa kutibu magonjwa ya bawasiri sababu imetengnezwa na madini & vitamins vingi vya asili na vyenye nguvu kuliko dawa yoyote ile kwenye soko.

Baadhi ya madini,vitamins na vilivyotumika kutengneza dawa hii ni👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽

🍎 OMEGA 3
uwepo wa kirutubisho hiki hutumika kuyeyusha uvimbe wa ndani tukumbuke kwamba bawasiri huanzia ndani kuja nje na pia omega 3 hutumika kuimarisha mishipa ya vena na ateri ambayo tiyar imepasuka kwenye njia ya haja kubwa na hiyo ndiyo hupelekea damu na muwasho.

🍎 VITAMIN B12
hii ni MOJA ya vitamin mhimu sana KWA kuimarisha mishipa ya damu ambayo tiyar inakuwa imeteleza na kupasuka.

🍎 VITAMIN C
husaidia kurahisisha metabolism na kufanya chakula kufanya kazi kama inavyotakiwa ktk mwili wa binadamu na kuimarisha mfumo wa mmeng'enyaji wa chakula ambao hupelea kupata choo kilaini na siyo kigumu.

🍎 VITAMIN B COMPLEX
Uwepo wa vitamin hii katika dawa ya pilecare huimarisha mfumo wa mmeng'enyaji wa chakula tumboni hivyo hupelekea KUZUIA chanzo cha bawasiri.

🍎 POTASSIUM NA CHUMA.
Tunafahamu kuwa bawasiri hupelekea saratani ya utumbo na njia ya haja kubwa pindi uchelewapo kutibu madini haya hupunguza athari na dalili za saratani a.k.a kansa KWA waliokaa na bawasiri muda mrefu.

Virutubisho vingne vilivyotengneza
*PILECARE* ni kama madini ya chuma,copper,manganese,selenium,vitamin B6,B12, K,A,E zink,omega 3,6,9 phosphorus pamoja na aina mbalimbali za viondoa sumu.

Vitu hivi vyote vinatokana na mimea asili kabisa na vimewekwa pamoja kitaalamu KWA uwiano maalumu kuhakikisha unapona na unaishi Maisha marefu yenye afya na furaha.

👉 Ukitumia PILECARE hutosikia tena maumivu makali wakati wa kukusaidia.

👉 Ukitumia PILECARE hutosikia tena maumivu ya kiuno na mgongo.

👉 Ukitumia PILECARE hutopata choo kigumu na chenye damu.

👉 Ukitumia PILECARE hutopata maumivu ya kiuno na mgongo.

👉 Ukitumia PILECARE mfumo wako wa mmeng'enyaji wa chakula utakuwa imara na utapata choo vzr.

👉 Ukitumia PILECARE uvimbe utayeyuka

*Gharama ya dawa hii ya PILECARE NI 350,000*wahitaji dawa hii wasliana nami.

Usiruhusu ugonjwa wako ukupotezee muda, pesa nyingi na nguvu yako zaidi.
Chagua leo kutumia PILECARE kuimarisha afya yako.

Malipo yanafanyika kwa njia ya halo pesa

0620165254 JUMA WILSON SIMON

Au

BANK NMB

33410013964 JUMA WILSON SIMON

Ukishalipia tuna uthibitisho wa mhamala, majina na namba ya mpokeaji na sehem ulipo

Naitwa Dr jimmy
No 0620165254.
Tunapatikana mwanza

‪@Jwsclinic‬

1 - 0

JWS Herbal Clinic
Posted 1 week ago

Baadhi ya shuhuda za watu waliopona vidonda VYA tumbo kwa kutumia dawa iitwayo stomach ulcers


Dawa hii imekuwa Bora na yenye maaajabu kwa sababu Ina zink ambayo moja kwa moja huenda kukaäusha vidonda tofauti na dawa nyingi kutikuwa na zink hivi kuleta matokeo ya muda mfupi na tatizo kurudi

Chagua kutumia stomach ulcers kwa matokeo ya uhakika

Kama wahitaji kulipia dawa hii inagharim sh 300,000 tupo mwanza mikoani tunaagiza kwa basi au ndege

Malipo hufanyika hapa

0620165254 Juma Wilson Simon

Au pig 0620165254

‪@Jwsclinic‬

2 - 0

JWS Herbal Clinic
Posted 1 week ago

“Njia Iliyo Thibitika Kuondoa VIDONDA VYA TUMBO Bila Kutumia Dawa… Mfumo wa Vyakula Uliokoa Maisha Ya Watu Wengi”
.
Shughuli za kila siku zimebadili mfumo wa maisha, hata kuathiri ulaji wa vyakula…
.
Jambo hilo limepelekea kuibuka kwa magonjwa mbalimbali yanayotokana na kukosa mlo kamili na wenye kukidhi mahitaji ya mwili…
.
Moja ya magonjwa ambayo yanasumbua watu hivi sasa ni vidonda vya tumbo…
.
Mbaya zaidi ni baadhi ya watu kutumia njia za muda mfupi kumaliza changamoto ...
.
Mfano, kutumia maziwa au dawa za kutuliza maumivu kwa muda mfupi na kuendelea na shughuli zao za kila siku na ratiba za chakula za kama kawaida…
.
Ukweli ni kuwa unaweza kuondokana na hiyo changamoto kwa kubadilisha mfumo na mtindo wa maisha…
.
Pamoja na lishe na kuhakikisha kila unachokula ni kwa ajili ya kuujenga na kuuweka sawa mwili wako…
.
Kutokana na hilo nimeweza kutambua kuwa ni vigumu mtu kuweza kuelewa moja kwa moja nini cha kufanya na wapi pa kuanzia…
.
Nimeweza kukuandalia “eBook” kitabu laini, ambacho kinaelezea namna unaweza kujitibu vidonda vya tumbo kwa kufuata mpangilio maalumu wa chakula…
.
Kitabu hiki nimekiandaa kwa ajili ya watu 20 Pekee, watakao chukua kitabu hiki kabla ya mwezi huu kuisha…
.
Utapata kujifunza
1.Jinsi ya kuandaa tiba za kutibu vidonda vya tumbo na Acid kupitia Njia (fomula) 3 tofauti kwakutumia mimea tiba yenye mchanganyiko maalum Katika ukurasa wa...30
.
2.Hatua muhimu za kufuata ili kutokomeza tatizo la gesi tumboni katika ukurasa wa...56
.
3.Jinsi ya kutumia Base ya Carbonate katika kutibu tatizo la Acid Reflux kwa muda mfupi sana ambayo hupatikana katika baadhi ya vyakula katika ukurasa wa...87
.
4.Zoezi maalumu la kupumua la Kutibu acid reflux bila dawa Katika ukurasa wa...90 Nk.

Pia utapata usaidizi katika group letu la whatsap….
Na Utapatiwa Diet maalum ya vyakula unavyo paswa kula kutokana na tatizo lako

Vyakula ambavyo vina Alkaline kwa kiwango kikubwa huku ukiepukana na vile vyote ambavyo ni vyanzo vya Acid bure kabisa

Kwa kawaida kitabu hiki huwa nakiuza kwa shilingi 20,000/= lakini kwa watu 10 wa mwanzo watakipata kitabu hiki kwa shilingi 10,500/=

Kumbuka, baada ya kukamilika watu hao nitakiondoa kitabu hiki sokoni na kuanzisha kozi yake ambayo nitauza kwa bei ghali, hivyo hutakipata kitabu hiki tena…

Kama uko tayari
Tuma ujumbe “NAHITAJI” Kwenda

Kama wahitaji basi lipia hapa utapatiwa ndani ya dakika 15

Malipo hufanyika hapa

Halo pesa

0620165254 Juma Wilson Simon

Endlea kutuftlia kitabu Kwa ajili ya wanaume na WANAWAKE kinakuja stay connected

‪@Jwsclinic‬

1 - 0

JWS Herbal Clinic
Posted 1 week ago

*IJUE DAWA YA PILECARE NA JINSI INAVYOWEZA KUTIBU CHANGAMOTO YA BAWASIRI*

Pilecare ni dawa ya asili ambayo imethibitishwa kutibu magonjwa ya bawasiri sababu imetengnezwa na madini & vitamins vingi vya asili na vyenye nguvu kuliko dawa yoyote ile kwenye soko.

Baadhi ya madini,vitamins na vilivyotumika kutengneza dawa hii ni👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽

🍎 OMEGA 3
uwepo wa kirutubisho hiki hutumika kuyeyusha uvimbe wa ndani tukumbuke kwamba bawasiri huanzia ndani kuja nje na pia omega 3 hutumika kuimarisha mishipa ya vena na ateri ambayo tiyar imepasuka kwenye njia ya haja kubwa na hiyo ndiyo hupelekea damu na muwasho.

🍎 VITAMIN B12
hii ni MOJA ya vitamin mhimu sana KWA kuimarisha mishipa ya damu ambayo tiyar inakuwa imeteleza na kupasuka.

🍎 VITAMIN C
husaidia kurahisisha metabolism na kufanya chakula kufanya kazi kama inavyotakiwa ktk mwili wa binadamu na kuimarisha mfumo wa mmeng'enyaji wa chakula ambao hupelea kupata choo kilaini na siyo kigumu.

🍎 VITAMIN B COMPLEX
Uwepo wa vitamin hii katika dawa ya pilecare huimarisha mfumo wa mmeng'enyaji wa chakula tumboni hivyo hupelekea KUZUIA chanzo cha bawasiri.

🍎 POTASSIUM NA CHUMA.
Tunafahamu kuwa bawasiri hupelekea saratani ya utumbo na njia ya haja kubwa pindi uchelewapo kutibu madini haya hupunguza athari na dalili za saratani a.k.a kansa KWA waliokaa na bawasiri muda mrefu.

Virutubisho vingne vilivyotengneza
*PILECARE* ni kama madini ya chuma,copper,manganese,selenium,vitamin B6,B12, K,A,E zink,omega 3,6,9 phosphorus pamoja na aina mbalimbali za viondoa sumu.

Vitu hivi vyote vinatokana na mimea asili kabisa na vimewekwa pamoja kitaalamu KWA uwiano maalumu kuhakikisha unapona na unaishi Maisha marefu yenye afya na furaha.

👉 Ukitumia PILECARE hutosikia tena maumivu makali wakati wa kukusaidia.

👉 Ukitumia PILECARE hutosikia tena maumivu ya kiuno na mgongo.

👉 Ukitumia PILECARE hutopata choo kigumu na chenye damu.

👉 Ukitumia PILECARE hutopata maumivu ya kiuno na mgongo.

👉 Ukitumia PILECARE mfumo wako wa mmeng'enyaji wa chakula utakuwa imara na utapata choo vzr.

👉 Ukitumia PILECARE uvimbe utayeyuka

*Gharama ya dawa hii ya PILECARE NI 350,000*wahitaji dawa hii wasliana nami.

Usiruhusu ugonjwa wako ukupotezee muda, pesa nyingi na nguvu yako zaidi.
Chagua leo kutumia PILECARE kuimarisha afya yako.

Malipo yanafanyika kwa njia ya halo pesa

0620165254 JUMA WILSON SIMON

Au

BANK NMB

33410013964 JUMA WILSON SIMON

Ukishalipia tuna uthibitisho wa mhamala, majina na namba ya mpokeaji na sehem ulipo

Naitwa Dr jimmy
No 0620165254.
Tunapatikana mwanza

‪@Jwsclinic‬

1 - 0

JWS Herbal Clinic
Posted 1 week ago

*IJUE DAWA YA STOMACH ACID NA JINSI INAVYOWEZA KUTIBU CHANGAMOTO YA ACID TUMBONI*

Stomach acid ni dawa ya asili ambayo imethibitishwa kutibu magonjwa ya acid tumboni,gesi na kiungulia KWA sababu imetengnezwa na madini & vitamins vingi vya asili na vyenye nguvu kuliko dawa yoyote ile kwenye soko.

Baadhi ya madini,vitamins na vilivyotumika kutengneza dawa hii ni👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽

🍎 ZINC
madini haya ni mazuri katika mwili wa binadamu hutumika zaidi kuthibiti ongezeko la asidi tumboni na kupunguza madhara yake na kupunguza Kasi ya kuzalishwa KWA gesi na kuimarisha mfumo wa mmeng'enyaji wa chakula.

🍎 VITAMIN C
hii hutumika kupunguza dalili za acid KWA sababu huzalisha saliva na ute kwenye tumbo ambao hutumika KUONDOA sumu na madhara ya acid.

🍎 VITAMIN B12
Pia huondoa Kasi ya kuzalishwaji wa acid tumboni KWA kutibu kiungulia kikali.

🍎 VITAMIN A,C,D
hii ni Antioxidant ambazo ni imara zaidi kwenye KUONDOA tatizo la asidi tumboni ambazo pia hulinda mwili na maradhi mbalimbali.

🍎MAGNESIUM.
haya ni madini ambayo Yana umhimu Sana katika mwili wa binadamu Mara nyingi antiasidi huungana na magnesium na mchanganyiko huu huondoa acid,gesi na maumivu kifuani unapohisi chakula kimekwama.

🍎 CALCIUM
calcium na carbonate na calcium citrate hutumika kama antiasidi KWA kupunguza kiungulia.

Virutubisho vingne vilivyotengneza
*STOMACH ACID* ni kama madini ya chuma,copper,manganese,selenium,vitamin B6,B12, K,A,E zink,omega 3,6,9 pamoja na aina mbalimbali za viondoa sumu.

Vitu hivi vyote vinatokana na mimea asili kabisa na vimewekwa pamoja kitaalamu KWA uwiano maalumu kuhakikisha unapona na unaishi Maisha marefu yenye afya na furaha.

👉 Ukitumia STOMACH ACID hutosikia tena gesi na kiungulia kikali.

👉 Ukitumia STOMACH ACID hutosikia tena maumivu ya kifua na kushindwa kupima.

👉 Ukitumia STOMACH ACID hutohisi kitu kubana Koo na tumbo kuwaka moto.

👉 Ukitumia STOMACH ACID hutopata maumivu ya kiuno na mgongo.

👉 Ukitumia STOMACH ACID mfumo wako wa mmeng'enyaji wa chakula utakuwa imara na utapata choo vzr.

*Gharama ya dawa hii ya STOMACH ACID NI 350,000*wahitaji dawa hii wasliana nami.

Usiruhusu ugonjwa wako ukupotezee muda, pesa nyingi na nguvu yako zaidi.
Chagua leo kutumia STOMACH ACID kuimarisha afya yako.

Malipo yanafanyika kwa njia ya halo pesa

0620165254 JUMA WILSON SIMON

Au

BANK NMB

33410013964 JUMA WILSON SIMON

Ukishalipia tuna uthibitisho wa mhamala, majina na namba ya mpokeaji na sehem ulipo

Naitwa Dr jimmy
No 0620165254.
Tunapatikana mwanza

‪@Jwsclinic‬

1 - 0