Channel Avatar

Brand kidigitali @UCPMPlcdGd5Gl7Bf5F7srFZQ@youtube.com

3K subscribers - no pronouns :c

Karibu kwenye channel yetu pendwa ya brand kidigitali , tuna


Welcoem to posts!!

in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c

Brand kidigitali
Posted 3 weeks ago

Karibu sana ...Graphic designer katika jukwaa letu la Mafunzo ya Branding Design , Mafunzo haya yatafanyika Kwenye WHATSSAP GROUP.

📌Note : Darasa Hili Sio Kwaajiri ya Beginner .

...LENGO KUU ni kutoa usaidizi na usimamizi kupitia ASSIGMENTS na Masahihisho Kwa kila Hatua ya Mafunzo , Lakini pia Tutashare Fikra na Ubunifu katika Design Process.

📌Wanafunzi 10 wa Kwanza Kujiunga Watapata Mafunzo ya LOGO DESIGN FULL COURSE BUREE.

Program Itakayotumika katika Mafunzo ni : ADOBE ILLUSTRATOR

Tunaposema Branding Design Maana yake nini ? , Hizi ni Aina ya design Ambazo zinatengenezwa kwaajili ya Kuprint .

Kupitia Mafunzo haya Tutajikita zaidi Kujifunza Msingi wa Branding Design ( Promotional Design )
Kama ifuatavyo :

01. Banner Design
02. Calenders Design
03. Book Covers
04. Invoice Design
05. Business Card Design
06. Identity Card Design
07. Company Profile Design
08. Certificate Design
09. Bronchure Design
10. Flyers

USHAURI kwa Graphic Designers Wanaoanza Kujifunza Program hii ya ADOBE ILLUSTRATOR , Unachotakiwa kufahamu na Kuwekea jitihada zaidi kwenye hii Program ni sehemu 02 :

01. Branding Design &
02. Logo Design

Haya ndio maeneo yenye Soko kubwa kwenye upande wa graphic design , Lakini pia ni huduma zinazohitajika mara kwa mara.

Mafunzo yataanza Mnamo tarehe 25 , Satuday 2025 Panapo Majaliwa .
Ada ya Mafunzo haya ni TZS 50,000 Yatafanyika kwa Muda wa Week 3

Nitext Whatssap niweze kukutumia FOMU YA KUJIUNGA.

18 - 2

Brand kidigitali
Posted 1 month ago

KAMA UNATAMANI KUJIUNGA NA HAYA MAFUNZO , TAFADHARI WASILIANA NAMI KWA WHATSAAP NO : 0687680811


Jaza FOMU Uweze KUJIUNGA na Mafunzo

docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSfgFcrTo2j-gBp2qi…

17 - 0

Brand kidigitali
Posted 2 months ago

Jiunge na mafunzo ya LOGO DESIGN MASTER CLASS , FROM 0 TO EXPERT , NIPIGIE KWA NAMBA 0676301606 KUPATA UTARATIBU.

11 - 0

Brand kidigitali
Posted 2 months ago

UNATAMANI KUWA MTAALAMU ( KUBOBEA )
KWENYE SKILLS GANI :

6 - 1

Brand kidigitali
Posted 2 months ago

OFA YA MAFUNZO YA ADOBE PHOTOSHOP , UTALIPIA ADA YA TZS 55,000 BADALA YA 100,000 MWISHO WA KULIPIA NI JUMANNE 19 NOVEMBER.

13 - 0

Brand kidigitali
Posted 3 months ago

LOGO DESIGN MENTORSHIP

MUONGOZO WA MAFUNZO :


Tutatumia MODULE 4 za ufundishaji ili kusaidia wale ambao hawana msingi mzuri wa
kutumia program ya ADOBE ILLUSTRATOR WAWEZE KUBOBEA :

Module 1:

Mafunzo yatafundishwa kwa mfumo wa video / Tutorial zenye mtiririko na muongozo rahisi
kuanzia hatua ya awali kabisa , namna ya kutumia ADOBE ILLUSTRATOR.

Module 2:

Mafunzo yatafundishwa kwa kutumia ZOOM MEETING, LENGO KUBWA kila mmoja
aweze kupokea masahihisho ya pamoja , lakini pia tutatumia program hii KUFANYA PRESENTETION
kila mmoja ataonyesha uwezo wake kulingana na ASSIGMMENT zitakazotolewa na Mwalimu.

Module 3:

Tutajifunza kupitia PRACTICAL ASSIGMENT, Kila tunapomaliza hatua moja ya mafunzo (Hasa kwenye hatua za matumizi ya TOOLS), Kutakuwa na ASSIGMENT mbalimbali .

Module 4:

Maswali na Majibu (Kila mmoja ataruhusiwa kutafuta maswali ambayo yatatolewa ufafanuzi kwa
njia ya video / Zoom meeting).

docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLScFbSwpvTQm-eexU-…

7 - 3

Brand kidigitali
Posted 4 months ago

NJIA RAHISI KUTUMIA SHADOW EFFECT KWENYE MAUMBO ( Adobe Photoshop ) #begginers

1 - 0

Brand kidigitali
Posted 4 months ago

Sheria na Mwongozo wa kutumia MAANDISHI ( Typography ) kwenye GRAPHIC DESIGN FULL COURSE #begginers

#fullcourse #graphicdesign

1 - 0

Brand kidigitali
Posted 4 months ago

Muongozo wa kujifunza GRAPHIC DESIGN SOMO LA KWANZA.

0 - 0

Brand kidigitali
Posted 4 months ago

LENGO KUU LA KUANDAA
MAFUNZO HAYA.............
ni kusaidia GRAPHIC DESIGNERS kubobea na kuongeza wigo wa kujiingizia kipato kikubwa kwenye UJUZI wa KUTENGENEZA NEMBO ZA BIASHARA / KAMPUNI.

Mafunzo haya yataendeshwa kupitia
Whatsap group.

OFFER KWA GRAPHIC DESIGNER AMBAO NI BEGINNERS :
Wanafunzi 15 wakwanza kujiunga watapatiwa videos 30+ za mafunzo ya awali.

Mafunzo yataendeshwa kwa muda wa
WEEK 3.

Kujiunga nitumie ujumbe kwenye
Whatsap no : +255676301606

Follow me instagram kwa jina @brand_kidigitali

12 - 0