Karibu kwenye channel yetu pendwa ya brand kidigitali , tunafundisha na kutoa mwongozo sahihi namna ya kujifunza fulsa mbambali za teknolojia na kuwa kama sehemu ya ajira .
Mafunzo yetu yanalenga kuandaa vijana na kuwa wataalamu kwenye mambo haya :
- Graphics Design
- Motion Graphics
- Video Editing
- Social Media Management
- Digital Marketing