Channel Avatar

RUBABA TV @UCM3zJ1M1OKSIYj8rslBKHMQ@youtube.com

63K subscribers - no pronouns :c

Rubaba Tv Own by (RUBABA MEDIA) name registered by BRELA is


Welcoem to posts!!

in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c

RUBABA TV
Posted 1 week ago

Kuna Jambo la Kujifunza kwa Wafugaji wa Kuku wa Mayai
https://youtu.be/yGH3e5aPnRI?si=wKr9u...

1 - 0

RUBABA TV
Posted 1 week ago

TANGAZO LA MAFUNZO YA HUDUMA MTANDAONI KWA VIJANA
Je, unataka kujua jinsi ya kutoa huduma mbalimbali mtandaoni na kupata kipato cha kila siku kuanzia shilingi elfu 10? Jiunge nasi katika mafunzo maalum yatakayokufundisha:

1. Namna ya Kufanya Maombi Mbalimbali Mtandaoni Kama Kusajilijina la Biashara, Kuomba Vyeti vya Kuzaliwa N.k

2. Namna ya Kujitangaza na Kupata Wateja Mtandaoni Kama Kujenga na kutumia mitandao ya kijamii, Kutumia mbinu za kisasa za utafutaji wa wateja

3. Namna ya Kuwasiliana na Wateja Mtandaoni kama Mbinu bora za mawasiliano, Jinsi ya kuwahudumia wateja kwa ufanisi

==================
MUDA NA MAHALI
Mafunzo yatatolewa kwa njia mbili:
πŸ‘‰Mtandaoni
πŸ‘‰Ofisini Mwanza (Kwa wale watakaofika ofisini watapata huduma ya bure ya WiFi na kifungua kinywa)

ADA YA MAFUNZO: TSH 120,000

Usikose nafasi hii ya kuboresha maisha yako na kupata kipato!

WASILIANA NASI KWA MAELEZO ZAIDI
πŸ“² 0764 148 221/ 0679 148221
πŸ“§ RUBABAMEDIA@GMAIL.COM

2 - 0

RUBABA TV
Posted 3 weeks ago

Bila kuchoka ✊️

11 - 0

RUBABA TV
Posted 3 weeks ago

Wasiliana Nasi Tukuhudumie

6 - 0

RUBABA TV
Posted 3 weeks ago

Katika video yetu ijayo, tunakuletea safari ya kipekee kwenye shamba la Leonida's Farm lililopo Mwanza. Tulitembelea na kujifunza mbinu bora za ufugaji wa kuku kwenye shamba hili. Jiunge nasi kujifunza siri za mafanikio katika ufugaji wa kuku Tanzania! Wa Mayai"
πŸ‘‰https://youtu.be/2HeKs2aXkPM?si=gzthf...

6 - 0

RUBABA TV
Posted 4 weeks ago

πŸ”₯TUMEANZA RASMI NA DARASA LETU KWA WAFUGAJI JIUNGE LEO πŸ‘‡ youtube.com/live/oZZlWieR_xk?si=N61kv8bK5ay-SWTq

4 - 4

RUBABA TV
Posted 1 month ago

🌟 End the Year with an Unforgettable Adventure! 🌟

Join us for a thrilling 2 Days & 1 Night Safari exploring the Serengeti’s Western Corridor! 🦁✨ Experience the Big Five, breathtaking landscapes, and the untamed wilderness, all while enjoying expert guidance, delicious meals, and comfortable accommodations.

πŸ“… Book Now for an exclusive rate:

Residents: 200,000 TZS per person

Non-Residents: 200 USD per person


Don’t miss out! This is the perfect way to celebrate the end of the year, whether you're traveling solo, as a couple, or with friends. πŸŽ‰

Contact us to reserve your spot today and get ready to make memories that will last a lifetime! πŸŒπŸš—

πŸ“ž Call/WhatsApp: +255 764 148 221 / +49 152 1950691 🌐 Visit: www.rubabasafaris.com
================================

🌟 Funga Mwaka na Safari ya Kukumbukwa! 🌟

Jiunge nasi kwa Safari ya Siku 2 na Usiku 1 huku tukichunguza Korrida ya Magharibi ya Serengeti! 🦁✨ Jione Wanyama Wakubwa Watano, mandhari ya kuvutia, na pori la mwituni, huku ukifurahia mwongozo wa wataalamu, chakula kitamu, na malazi bora.

πŸ“… Weka Nafasi Sasa kwa ofa ya kipekee:

Wakazi: 200,000 TZS kwa mtu

Wageni: 200 USD kwa mtu


Usikose nafasi hii! Ni njia bora ya kuhitimisha mwaka, iwe unasafiri peke yako, na mwenzi wako, au na marafiki. πŸŽ‰

Wasiliana nasi kuhifadhi nafasi yako leo na ujiandae kwa kumbukumbu za maisha! πŸŒπŸš—

πŸ“ž Piga simu/WhatsApp: +255 764 148 221 / +49 152 1950691 🌐 Tembelea: www.rubabasafaris.com

4 - 0

RUBABA TV
Posted 2 months ago

Dk. Bernard Grzmek aliandika "Serengeti Shall Not Die" baada ya yeye na mwanawe Michael kuhesabu wanyama wote katika Ngorongoro Crater, eneo kubwa la volcano iliyozama ambayo ni takriban maili za mraba 3,205 na maili moja kutoka kwenye ukingo wa volkano.

15 - 0

RUBABA TV
Posted 2 months ago

✌️ β€ͺ@RubabaTv‬

18 - 0

RUBABA TV
Posted 2 months ago

Mwanza, mji wenye mandhari nzuri ya Ziwa Victoria, milima ya mawe ya kuvutia, na utamaduni wa kipekee. Ni lango la Serengeti na hifadhi nyingine nyingi, lakini kwanini bado utalii hapa unasua sua? Ni wakati sasa wa kuwekeza na kuendeleza utalii wa Mwanza, kwa faida ya jamii na uchumi wetu. Tusikubali hazina hii ifichwe, tukaze buti!

10 - 0