Naitwa Rodgence na hapa utajifunza jinsi ya kutengeneza website mbalimbali kwa kutumia mfumo wa wordpress pamoja na mifumo mingine kama HTML, CSS, Java Script, Bootstrap, Bulma, Jquery, React, Typescript PHP na lugha mbalimbali za computer.
Pia utajifunza mifumo ya malipo na namna ya kupokea malipo online kupitia website yako au app yako.
Utajifunza pia kuhusu hosting pamoja na AI (artificial intelligent) technology.
kama utakuwa na swali au utahitaji website kwa ajili ya biashara yako au kampuni team yetu ipo kuhakikisha unakuwa online walisiana nasi whatsapp 0769500302