Hapa ni sehemu pekee ambapo tutajifunza na kuhabarishana bila hofu yoyote mambo ya kweli kuhusu watu weusi, na kila kitu kuhusu maisha yetu hapa duniani,, kwa yeyote mwenye elimu ya aina yoyote inayoweza kuwasaidia watu weusi kutoka kwenye mikono ya mabeberu na ukoloni mamboleo anakaribishwa kushirikiana na sisi, utawasiliana nasi kwa kutuma jumbe kwenye DM za mitandao yetu ya kijamii,,,
KARIBU TUIJENGE AFRIKA MPYA...
.