Channel Avatar

Hasanaatu TV @UCGRRfLdAEtA8VxSI_A1-HmQ@youtube.com

1.8K subscribers - no pronouns :c

Hasanaatu TV ni ya kwetu sote na ipo kwa ajili ya kukuelimi


Welcoem to posts!!

in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c

Hasanaatu TV
Posted 8 months ago

Video muhimu sana utaipata muda mfupi kuanzia Sasa, kuhusu umuhimu wa kufunga siku ya Arafah, kuwa tayari kuifatilia...

An important video about the importance of fasting on the day of Arafah will be posted shortly from now so be ready for it...

Subscribe, like, comment and share

3 - 1

Hasanaatu TV
Posted 9 months ago

SPECIAL THANKS :
We are very happy to reach 1k viewers in this video, our happiness is due to your great support by following us, so don't stop holding our hand by watching the videos posted here in this channel and don't forget to share them with others.
thank you very much

SHUKURANI ZA DHATI:
Tunayo furaha ya dhati kwa kufikisha watazamaji 1k katika video hii, furaha yetu ni kutokana na sapoti yako wewe, kwa kuendelea kutufatilia na kutazama video zinazo postiwa katika channel hii, tunakuomba Uendelee kuwa nasi na kusambaza kheri hizi kwa wengine.
Ahsante sana
#Hasanaatutv fahamu yaliyo mema.

2 - 1

Hasanaatu TV
Posted 9 months ago

TAARIFA NJEMA
Hasanaatu TV inayo furaha ya kutoa shukran zake za dhati kwa kufikisha subscribers 1k, tunakuombeni muendelee kutusapoti na kusambaza link kwa wengine ili kheri izidi kuwafikia na wengine ahsante sana.

GOOD NEWS
Hasanaatu TV has the pleasure of expressing its sincere thanks for reaching 1k subscribers, we ask you to continue to support us and share the link with others so that the good will reach them and others, thank you very much.

2 - 2

Hasanaatu TV
Posted 10 months ago

Uongozi wa Hasanaatu TV unakutakieni
Eid Mubaaraka kwa Waislamu wote Duniani
Tusimuasi Allah katika masiku haya matukifu

3 - 0

Hasanaatu TV
Posted 1 year ago

Dua tuwaombee ndugu zetu
WA Palestine na Duniani kote
Let us pray for our Muslim brothers
And sisters around the world

5 - 2

Hasanaatu TV
Posted 1 year ago

Subscribe for more videos & share
Usikose ku subscribe na ku share kwa wengine faida hii

1 - 0

Hasanaatu TV
Posted 2 years ago

Allah atufanyie wepesi
Katika kila yaliyo mema

Subscribe ili usipitwe
Na khabari mpya

4 - 3

Hasanaatu TV
Posted 2 years ago

Mwaka mpya usikufanye ukamuasi mola wako, bali jisogeze zaidi kwa mola wako na ukithirishe kumuomba msamaha, napia Kuongeza juhudi za kuyaendea malengo yako, tusifanye maasi kisa kumaliza mwaka

Pls Subscribe

4 - 2

Hasanaatu TV
Posted 2 years ago

Chombo chako cha kukuelimisha kuhusu Dini na Dunia yako _Hasanaatu tv_ kinatoa shukran zake za thati kwa ukaribu wako na ushirikiano wako, endelea kusambaza link kwa wengine ili waweze ku subscribe na kutufatilia pia, ili ujipatie maliop kwa mola wako, napia utakua umetu support kwa kufanya hivyo.

Ahsanteni
---------
Media that educates you about your religion and world _Hasanaatu tv_ expresses its sincere gratitude for your closeness and your cooperation, continue to share the link to others so that they can subscribe and follow us as well, so that you can receive payment from your Lord, and you will be supporting us by doing so.

Thank you
---------

5 - 4

Hasanaatu TV
Posted 2 years ago

Endelea kutufatilia napia kuwaalika na wengine ili kupata mawaidha na faida nyingi tofauti katika Dini yako na Dunia yako...

7 - 6