Hasanaatu TV ni ya kwetu sote na ipo kwa ajili ya kukuelimisha na kuielimisha jamii kwa pamoja kuhusu Dini yetu na Dunia yetu pia, tuna patikana katika mitandao ya kijamii ikiwemo Facebook na mitandao mingine, napia waweza kuwasiliana nasi kupitia Email yetu ya: hasanaatutv@gmail.com
Pia tuandikie kupitia
+27724656380
Tafadhali Subscribe na uwaalike na wengine ili waweze ku subscribe channel hii kwa wingi ili muweze kuwa wa kwanza kujipatia yalio mema na muweze kusambaza Pia kwa wengine swadaka hii, tuunge mkono ili tuzidi kuyasogelea malengo yetu, maana tuna malengo mengi pia malengo ya muda mrefu na Yote hayo ni kwaajili ya Jamii yetu, kutuunga kwako mkono Ndio sababu ya sisi kufikia malengo yetu mema, napia ni sehemu ya swadaka yako kwa Allah.
Hasanaatu TV
Fahamu yaliyo mema