Channel Avatar

Dar24 Media @UCCJtvHe44RGZAVVhI9q7m1Q@youtube.com

732K subscribers - no pronouns :c

Dar24 Media is an online media registered with Tanzania Comm


Welcoem to posts!!

in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c

Dar24 Media
Posted 6 months ago

Tazama makala hii ya kusisimua kuhusu vifo vya wanamaji wa URUSI 118, katika kina kirefu cha bahari, makala hizi za #MAELEZO zinaruka kila siku ya jumapili saa tano kamili asubuhi hapa hapa Dar24Media

0 - 0

Dar24 Media
Posted 7 months ago

TAZAMA MAKALA YA MAUAJI YA NDUGU WA RAIS WA KOREA KASKAZINI KWA KUBOFYA KIUNGANISHI (LINK)HIKI HAPA CHINI

https://youtu.be/DjOkPVofWP0?si=njlpp...

5 - 0

Dar24 Media
Posted 1 year ago

Mwanamuziki nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, Haitham Kim amefariki Dunia mapema leo Septemba mosi wakati akipatiwa matibabu kwenye hospitali ya Temeke Dar es Salaam

Taarifa za awali kutoka kwa ndugu wa karibu wa mwimbaji huyo ni kuwa alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya mapafu.

Haitham Kim alifanya vizuri na kibao kama Playboy alichokitoa mwaka 2016 na kuendelea kuzikonga nyoyo za mashabiki wake kwa nyimbo mbalimbali ikiwamo 'HAKUTAKI' aliyoiachia mwezi wa sita mwaka huu 2023.

93 - 4

Dar24 Media
Posted 2 years ago

HATUA YA SIMBA SC KUALIKWA SUDAN KWENYE MICHUANO MAALUM INASABABISHWA NA NINI?

109 - 8

Dar24 Media
Posted 2 years ago

Baada ya Simba kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar nani unadhani anastahili kuwa mchezaji bora?

95 - 9

Dar24 Media
Posted 2 years ago

Baada ya Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Coastal, nani unadhani anastahili kuwa mchezaji bora?

60 - 8

Dar24 Media
Posted 2 years ago

KUFUNGWA KWA SIMBA SC UNAKUELEZEAJE?

86 - 11

Dar24 Media
Posted 2 years ago

NANI KUTWAA NGAO YA JAMII 2022/23 KWA MKAPA?

169 - 25

Dar24 Media
Posted 2 years ago

Mchezaji gani wa Yanga atafanya vizuri 2022/23?

114 - 12

Dar24 Media
Posted 2 years ago

TAMASHA LIPI LITAFUNIKA MWAKA HUU 2022?

208 - 33