Karibu katika channel yetu ya Kwaya ya Vijana Keko KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Jimbo la Kusini Dar es Salaam.
Lengo ni kuendelea kueneza injilli kwa njia ya nyimbo kupitia channel hii. hivyo tunatoa wito kwako kuwaalika marafiki wengi zaidi kutembelea hapa na kubarikiwa na nyimbo. Mungu akubariki sana unapochukua hatua ya kuwaalika wengine maana ndivyo unavyoungana nasi katika kutangaza habari njema ya wokovu na injili ya marejeo.
unaweza kuwasiliana nasi kwa namba zifuatazo: +255 718 974 973/ +255 712 572 949