in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c
Sheikh,Mwalimu wetu Mohammed Idd Mohammed amefariki leo asubuhi akiwa njiani toka hospitali ya Amana kwenda hospitali ya Mloganzila.
Kwa sasa Dua zinaendelea nyumbani kwake Buguruni kwa Mnyamani,Saa kumi alasiri atasaliwa katika msikiti wake wa Mnyamani(Buguruni),Saa moja jioni atasaliwa msikiti wa Bakwata Makao Makuu Kinondoni na Baada ya hapo atasafirishwa kwenda nyumbani kwao Tanga.
Maziko yanatarajiwa fanyika kesho Baada ya Sala ya Ijumaaa katika kijiji cha Mkata wilaya ya Handeni Tanga.
Inna lillahi wainna ilaihi Raajiun 😢
184 - 31
Una swali lolote linakutatiza ungependa muuliza Sheikh Mussa Kundecha?...Uliza na in sha Allah Sheikh atajibu maswali 10 bora kesho
150 - 22
Una ndoa (Nikah) na unatamani Camera ya Kalamu ifike katika siku yako adhim?
Tupigie +255 769 519 215 | +255 713 148 816
125 - 1