in the future - u will be able to do some more stuff here,,,!! like pat catgirl- i mean um yeah... for now u can only see others's posts :c
Ulimi ni kiungo kidogo sana,lakin kinaweza kukuharibia vibaya sana Punguza mdomo una jiharibia mambo mengi sana,
π
https://youtu.be/MAD7gf4DThI?si=nH2Da...
15 - 0
WIMBO MZURI SAANA NAAMINI UTAKUHUDIA
π
AGUSTINO FT ANNOINT AMANI KUTOKA AUSRALIAπ
https://youtu.be/N_ekh-6pQsk?si=uK43B...
10 - 0
WIMBO UNAITWA ISAMBAZWE ,
KUTOKA KWA MILONDO AUGUSTIN FT ANNOINT AMANI ,UTACHEZA HUKU UNASIKIA INJILI
π
https://youtu.be/N_ekh-6pQsk?si=hiyt_...
10 - 0
YESU WA KICHINA NI WIMBO WA INJILI WENYE UJUMBE MZITO SANA JUU YA KANISA LA LEO
π
https://youtu.be/i5zX0M2uAnc?si=yBbsm...
18 - 0
Baada ya miaka mingi kupita Nas b Ft Annoint Amani ngoma iko hewani tena πͺ
Hebu kausikilize ujumbe huu mzuri utakao ponya maisha yako
π
https://youtu.be/NORUEXHKwoU?si=rqTOX...
27 - 1
HASARA YA MALAYA NI WIMBO WENYE KWELI YA KRISTO INAYO MUOKOA MTU MOJA KWA MOJA ,KUTOKA DHAMBIN NA KUIAHI MAISHA HARISI,
SIKILIZA UIJUE NJIA YA KWELI ITAKAYO KUFANYA UWE HURU KWELI KWELI π
π
https://youtu.be/vACEc5yzv-M?si=dzsdF...
24 - 0
EP 4 IKO HEWAN DADA KILINDY KATUWEKEA ENDELEA KUJIFUNZA πͺ
π https://youtu.be/420i_m5D8EU?si=vem8c...
4 - 0
HUU NI MWANZO WA MWAKA MAMBO NI MENGI SANA,MUNGU ATUPE UTULIVU MKUBWA ILI TUSIKOSEE KWA KILA JAMBO
HII WIMBO UTAKUSAIDIA KUJIFUNZA
π
https://youtu.be/x1U92jBzc9c?si=O_cV0...
21 - 0
HAYA SASA TAYARI SHORT SEASON YETU ,
EP 3 ,IMETOKA,
π https://youtu.be/mOvKt8Dk_fw?si=UDhIy...
7 - 0
KUBARIKIWA NI NINI ? WIMBO HUU UNANIFUNDISHA JAMBO KUBWA SANA KILA NIKI SIKIA NAKUTAZAMA ,
HEBU NAWEWE KAJUFUNZE KUPITIA UJUMBE HUU
πhttps://youtu.be/3HmhTVxAP_g?si=uGBdr...
13 - 0
This is the Official channel for Annoint Amani,
For Booking
email.annointamani59@gmail.com.
Whatsapp +255755099942
Call +255767240181