High Definition Standard Definition Theater
Video id : XR62Hq80h-4
ImmersiveAmbientModecolor: #a3c4e0 (color 2)
Video Format : (720p) openh264 ( https://github.com/cisco/openh264) mp4a.40.2 | 44100Hz
Audio Format: 140 ( High )
PokeEncryptID: a5a0532db9172063eeffdfae57c3c6d022cb974cebfe27f29b72124fdaee2e8aba2de7e162575c9aa284214366758373
Proxy : eu-proxy.poketube.fun - refresh the page to change the proxy location
Date : 1740271097935 - unknown on Apple WebKit
Mystery text : WFI2MkhxODBoLTQgaSAgbG92ICB1IGV1LXByb3h5LnBva2V0dWJlLmZ1bg==
143 : true
Sili nyama toka mwaka 1976 mwezi wa pili - Pr.Kenani Mwasomola
Jump to Connections
15,634 Views • Nov 24, 2024 • Click to toggle off description
Metadata And Engagement

Views : 15,634
Genre: Entertainment
License: Standard YouTube License
Uploaded At Nov 24, 2024 ^^


warning: returnyoutubedislikes may not be accurate, this is just an estiment ehe :3
Rating : 4.931 (4/229 LTDR)

98.28% of the users lieked the video!!
1.72% of the users dislieked the video!!
User score: 97.42- Overwhelmingly Positive

RYD date created : 2024-12-06T16:39:20.262292Z
See in json
Connections
Nyo connections found on the description ;_; report an issue lol

139 Comments

Top Comments of this video!! :3

@jeffmap4038

4 weeks ago

Jamii ya hadzabe wanaishi kwa kula nyama na wanaishi na nimoja ya jamii zinazoishi maisha marefu kwa Tanzania

2 |

@MussaMizuno-l1i

4 weeks ago

🤝Mzee wangu nimeipenda iyo style yako ulivyo iweka iyo Mike This is first time i see that mike keeper style You are creater with that style Nimeipenda iyo Mzee wangu👏👏👏

1 |

@anatoryjames4128

1 month ago

Anayezaliwa na kufa saa íyoíyo nyamà anaíjulia wapi basi mungu angesitisha uumbaji wa wanyama

4 |

@FelixMwacha

2 months ago

Mwanzo 9:2-3. Kumb 12:20. Warumi14:2-3 1'Timot 4:3 (WENYE IMANI HULA VYOTE/VIMETOLEWA NA MUNGU VIPOKELEWE KWA SHUKRANI)

8 |

@ashachitemo7816

1 month ago

Asante kwa elimu nzuri

|

@ibrahimrajabu1113

2 weeks ago

Usitudanganye tuache kula nyama, Siachi Ng'oo

|

@T1Mtz

1 month ago

Kuna wamasai, wasukuma, hadzabe, mang'ati na jamii zingine za wafugaji hutumia nyama sana ila wanaishi miaka mingi sana.
Swala la kula nyama na kufa ni la imani ya mtu binafsi

3 |

@zuwenasalim2794

1 week ago

Kufa nilazima kuishi ni Neema ya Mungu ule nyama,ule majani,lzm ck ifike tuondoke

|

@Rawdha-y8t

2 weeks ago

nyam ni tamu sana tunakula

|

@avinkajuna708

1 month ago

Tunaishi kwa neno,kwa mifungo na maombi🙏

1 |

@leonardyona1462

2 months ago

Warumi 14:2
Mtu mmoja imani yake inamruhusu kula kila kitu, lakini mwingine ambaye imani yake ni dhaifu, hula mboga tu.

5 |

@michaelmagwaza-bc6mk

1 month ago

Acha kututishia kama hauli usimshambulie anaekula kwa Imani.

1 |

@lusajojoram4522

2 weeks ago

Nyama haiui acha KUDANGANYA

|

@fademoonlinetv

2 months ago

Mzee acha majigambo. Fanya kazi ya Mungu. Acha kutishia watu. Mbona Wamasai wanakula nyama hadi uzeeni na wanaishi hadi miaka 120??

8 |

@edsonkanana3071

1 week ago

Hapo kwenye tarumbeta Pr 😅

|

@rajabodhuman1300

1 month ago

Yote hiyo ni kuogopa kifo ila mda ukifika nilazima ufe tu,na mbaya ndo utajuta ulijitesa bure,kila kitu kula kwa kiasi ndo la msingi zaidi

1 |

@visamwilama8240

3 weeks ago

Muongo huyo baba jamaniii 😅

|

@biblicalchristianassemblies

1 month ago

Jilinde hivyo hivyo ili usife kama ambavyo wanyama wala majani wasivyokufa maana damu zao hazina chorestro. Lakini kama kwa bahati mbaya utakufa, basi hao wanaokusikiliza watakuja kukuzika kama ulivyowaahidi kuwaziika. Ikitokea wakagoma kuja, mimi nitakuja kamq nitakuwa sijafa

|

@robertalu521

1 month ago

Kuna tatizo mahali

|

Go To Top