PokeVideoPlayer v23.9-app.js-020924_
0143ab93_videojs8_1563605_YT_2d24ba15 licensed under gpl3-or-later
Views : 554
Genre: Entertainment
License: Standard YouTube License
Uploaded At Dec 11, 2024 ^^
warning: returnyoutubedislikes may not be accurate, this is just an estiment ehe :3
Rating : 5 (0/14 LTDR)
100.00% of the users lieked the video!!
0.00% of the users dislieked the video!!
User score: 100.00- Masterpiece Video
RYD date created : 2024-12-11T19:18:36.417293Z
See in json
Top Comments of this video!! :3
Asante mtumishi wa Mungu kwa kuweka wazi. Ndiyo maana kuna kitabu cha OLE ULIMWENGU! Hicho kitabu kuna mjombaake na shetani ambaye ni Ibilisi, anamwambia kuwa siku hizi tumemiliki mpaka makanisani kwa kupeleka nyimbo za huku kwetu kuzimu bila wao kujua! Hivyo ndugu zangu tuwe macho na haya yanayokemewa, Jehanamu ni HALISI, Mungu atusaidie.
2 |
Basi tuelekeze ni aina Gani ya muziki yatupasa tupoge katila makanisa YETU kama Reggae ni mziki wa shetani na Sasa Rock nao ni mziki wa shetani, tupoge aina Gani ya muziki kwa ufahamu wangu miziki wa kilokole haupo duniani bali kinacho utia unajisi muziki ni aina ya maneno yaliyotumika, kwa maana aina ya vyombo vya muziki ni vilevile na formula ya kujifunza muziki kwa mpagani na mlokole ni Ile Ile, tafadhali nissidie kwenye hili huenda na Mimi ninamkosea Mungu kwa namna Moja ama nyingine.
Barikiwa
1 |
Mziki unaondelea kwasasa au Secular music au mziki wa kizazi kipys au mziki wa vijana ni tatizo.Nakumbuka siku Moja nilisafiri from Mwanza to Dodoma usiku mzima nikiwa katika basi nilikuwa nasikiliza miziki ya bongo fleva Kwa kutumia earphone.Sasa usiku wa siku ya pili nilipoingia kitandani kulala nilipoanza kupitiwa na usingizi nilisikia sauti ndani yangu kama njonzi nikiambiwa anayeimba bongo flavor na anayeshabikia bongo Flavor wote Mwenyezi Mungu atawahukumu.Maneno ya hizo nyimbo,uchezaji na uvaaji wa nusu uchi au uchi kabisa hasa Kwa dada zetu hazimtukuzi Mungu,ni ushetani ni ukafiri na uzinzi mtupu.Yanahamasisha uasherati
|
@kokusimabuberwa259
2 weeks ago
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
|