BALAGHA

103 videos • 847 views • by Dar24 Media Balagha ni kipindi cha elimu ya mambo mbali mbali yenye kuhusu mfumo wa maisha ya mwanadamu, sehemu ambayo utapata ukumbusho na mafundisho ya maagizo ya Mwenyezi Mungu. Usikose kufuatilia kipindi hiki kila siku ya Ijumaa saa nne na nusu asubuhi.