STORY & RHYMES

53 videos • 1,544 views • by Dar24 Media Story and Rhymes ni kipindi cha burudani kinachokukutanisha na wasanii mbali mbali, kufahamu mengi kuwahusu na kupata wasaa wakuwashuhudia wakitengeneza muziki live ndani ya studio huku wakikuonyesha kila hatua ambayo wao huzitumia kukuandalia muziki mzuri. kipindi hiki kinakujia kila siku ya Jumatano hapa hapa Dar24 Media.