Nyota

9 videos • 621 views • by Rakims Spiritual #nyota #rakimsspiritual Katika Playlist hii utaweza kujitambua zaidi na kuweza kujua maarifa yaliyojificha katika nyota yako. Kila mwanadamu aamini au asiamini na atake au asitake basi atakuwa kazaliwa chini ya moja ya makundi nyota 12 na ambapo hapo ndio unaweza kufahamu muongozo mzima vile ambavyo mtu anatakiwa kuiendelea dunia. Katika kusoma nyota basi inatuonyesha na kutuelekeza kuwa ni vema zaidi mtu kujitambua yeye kwanza kabla ya kutambua mazingira yake. Hii inampa mtu wepesi wa kujua ni nini afanya ili aweze kuyaendea vema maisha yake ya kila siku, Endelea kuwa nasi katika playlist hii kuweza kuyajua mengi yanayohusiana na maarifa ya nyota. Rakims S.