Restoration Gospel Commission Ministry ni huduma iliyoanzishwa mwaka 2017 yenye Makao makuu jijini Dar es Salaam. RGCM ina lengo la kuwarejesha watu kwa Mungu kwa njia ya Yesu Kristo. Huduma hii inaongozwa na neno la Mungu kutoka kitabu cha Isaya 8:1o, lisemalo, "Fanyeni shauri pamoja, nalo litabatilika; Semeni neno, lakini halitasimama; Kwa maana Mungu yu pamoja nasi"
RGCM Tanzania
Dar es Salaam
Simu : +255 (0) 764 711 544
Email : rgcm0717@gmail.com