Channel Avatar

Uzao Tv @UCoJltQRpgfsvzMJLTlvo6Tg@youtube.com

854 subscribers - no pronouns :c

UZAO ULIOBARIKIWA Huduma hii takatifu inayoongozwa na Mtumis


About

UZAO ULIOBARIKIWA
Huduma hii takatifu inayoongozwa na Mtumishi wa Mungu Mwl James Kamera Lengo la Huduma hii ni Kuandaa kizazi chenye nguvu kilichobarikiwa kupitia Maarifa na Maombi Neno la Huduma hii

Isaya 61:9
9 Na kizazi chao kitajulikana katika mataifa, na uzao wao katika kabila za watu; wote wawaonao watakiri ya kuwa wao ni kizazi kilichobarikiwa na Bwana.

Dira yetu Kuwa mbele katika kuandaa kizazi maadili nidhamu na Utakatifu

Dhima yetu:Kujitoa kikamikifu kuandaa kizazi kilichopo na kijacho kwa neno lisiloghoshiwa la Yesu Kristo

Unaweza kusimama na huduma hii kwa sadaka yako na ushauri
Mpesa 0744632820