Channel Avatar

Amedeus Live Podcast @UCnWEE6W9DIf6Lbzox4_tamg@youtube.com

226 subscribers - no pronouns :c

Pata Fursa ya Kujifunza neno la Mungu na kujengwa kiroho kup


About

Pata Fursa ya Kujifunza neno la Mungu na kujengwa kiroho kupitia injili ya Bwana wetu Yesu Kristo. Kupitia channel hii utaweza kupata mafundisho mbalimbali haswa kupitia Nakala za Rhapsodi (Utenzi) ya Uhakika Kila Siku ili kuilisha roho yako na kuboresha nyanja zote za maisha yako.

Mwanadamu hataishi kwa Mkate tu bali kwa kila neno litakalo katika Kinywa cha Mungu.

Nakala hizi zinaandikwa na Mch. Chris Oyakhilome na zinatoka kila mwezi na zinakuwa na neno la Kila Siku na pia utaweza kutazama mafundisho mbalimabli ya Mch. Chris kwa lugha ya Kiswahili.

Endelea kuishi katika anga la baraka, afya njema na mafanikio.
#amedeusdr #mtiwauzima #rhapsodiyauhakika #utenziwauhakika
#amedeuslivepodcast
#teevo