Karibu kwenye familia ya BIBLICAL CHRISTIAN ASSEMBLIES OF GOD [B.C.A.G].
Tunayo furaha kumkaribisha kila mtu kwa ajili ya kujifunza Neno la Mungu na kupokea mafundisho na miongozo mizuri mingine kwa ajili ya Utukufu wa Mungu.
Channel hii ya kanisa imejikita kutoa huduma zifuatazo kupitia Platform ya YOUTUBE
✅KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
✅SEMINA ZA MAFUNZO MBALI MBALI
✅SHUHUDA NA SIMULIZI ZA KUSISIMUA
✅MANENO YA HEKIMA
✅MAFUNDISHO YA KIMAISHA
Kwa minajili hii, tunakukaribisha uwe mmoja wa familia yetu, na kwa unyenyekevu tunaomba msaada wako na wa kila mtu ili kukamilisha lengo hili. Kwa unyenyekevu mkubwa tunakuomba ufanye mambo yafuatayo vifuatavyo kwa ajili ya mafanikio chanya ya Channel hii:
⭕LIKE
⭕SHARE
⭕COMMENT
⭕SUBSCRIBE
Ukifanya ivyo utakuwa umesaidia Huduma hii kuwafikia watu wengi ili nao wafaidike nayo. Ombi letu jingine kwako ni wewe kutusaidia kumjulisha rafiki yako naye ajiunhe na familia hii ya B.C.A.G, na hivyo tuwe familia kubwa na imara. Asante.