Karibu kwenye Mawaidha Fupi!
Hapa utapata mawaidha mafupi ya Kiislamu kutoka kwa Masheikh mashuhuri wa Kenya na Tanzania. Tunaleta ujumbe wa Qur’an, Hadith, nasaha na hekima katika lugha ya Kiswahili – kwa njia rahisi na ya haraka kupitia YouTube Shorts (dakika moja au chini).
Lengo letu: Kueneza elimu sahihi ya Uislamu kwa njia fupi na yenye athari.
Jisajili (Subscribe) na usambaze ujumbe wa kheri.
Da’wah kwa wote. Kiswahili kwa wote.